Humu JF kuna watu waongo, ukifukua makaburi utastaajabu

Yupo mmoja zamani sana alisema anasoma masters ulaya na yupo ukouko kuna siku kajisahau kadai yeye anaishi bongo kumkumbusha akasema anasoma online kumbana sana akaanza mitusi km kawaida yake.
Huyohuyo kuna siku anasema yeye sio mbongo anajisahau anasema baadae yeye mbongo.
Huyohuyo kuna siku yeye in shabiki wa simba akijisahau anasema shabiki wa yanga sasa jiroge umkosoe atatoa mitusi na mikashfa kibao halafu yeye ndie mwenye IQ kubwa kupita watu wote humu JF.
 
Mtaje basiii
 
...atakuwa ni yule anayedai pia kuwa yeye ni mnyarwanda! :D :D
 
Yupo mmoja zamani sana alisema anasoma masters ulaya na yupo ukouko kuna siku kajisahau kadai yeye anaishi bongo kumkumbusha akasema anasoma online kumbana sana akaanza mitusi km kawaida yake.
Huyohuyo kuna siku anasema yeye sio mbongo anajisahau anasema baadae yeye mbongo.
Huyohuyo kuna siku yeye in shabiki wa simba akijisahau anasema shabiki wa yanga sasa jiroge umkosoe atatoa mitusi na mikashfa kibao halafu yeye ndie mwenye IQ kubwa kupita watu wote humu JF.

Nani huyo?
 
Kati ya mambo yanayoniacha hoi humu jf, ni baadhi ya watu kuja na nyuzi zao ambazo baadae zinageuka na kuwa pindua pindua hasa kwenye jukwa la MMU.
Unakuta mtu analeta uzi ambao unaonyesha yeye ni mwanaume lakini anakuja na mwingine unaoonyesha yeye ni mwanamke na unakuta watu ambao labda pengine ni wageni au kutokana na kufuatilia sana nyuzi humu wanakuwa wanachangia pasipo kushtukia hilo! Hiki ni kituko aisee...

Mwingine analeta uzi kuwa yupo nyumbani hana kazi tokea mwezi may, anatafuta, then baadae analeta uzi unaoonyesha anakazi ambayo aliipata tokea mwaka jana na anaendelea nayo na imempa mafanikio makubwa!

Mwingine analeta uzi unaonyesha ana elimu ya chuo kikuu, ngazi ya degree halafu baada ya muda unakutana na uzi mwingine ambao anasema elimu yake ya kiwango cha juu ni cheti au kidato cha nne.

Hili jambo kuna wadau humu wanaliona na wanachimba kweli makaburi, na mtu ukikomaliwa utaona jf ilivyo na ladha yake halisi!!
Shida yako ni nini hadi ufukue makaburi?, Si bure ! lazima utakuwa mwanga! kwa ushauri tu, ukisoma uzi mara moja humu usiurejelee tena wal usitafute uzi mwingine related na huo. unless of course umetumwa kutoka Kijitonyama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom