Humu JF kuna watu waongo, ukifukua makaburi utastaajabu

Abstract algebra ina mambo yake, yaani 1+1 inaweza kuwa tano au sifuri bila chenga!
Sijadanganya hapa, msije mkaanza kunifukunyua
Angalia tusije kukutumbukiza kwenye kikaango cha uzi wako

Hesabu bana:
Eti.
English: Differentiate X with respect to Y.

Kiswahili: Tofautisha X kwa heshima ya Y.

Bora tuendelee kuwa waaongo hivyo hivyo aisee.
 
Hahaaa...basi vunga mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom