Humu JF kuna watu waongo, ukifukua makaburi utastaajabu

Shida yako ni nini hadi ufukue makaburi?, Si bure ! lazima utakuwa mwanga! kwa ushauri tu, ukisoma uzi mara moja humu usiurejelee tena wal usitafute uzi mwingine related na huo. unless of course umetumwa kutoka Kijitonyama
Hahahah katumwa na Manyaunyau
 
Yupo mmoja zamani sana alisema anasoma masters ulaya na yupo ukouko kuna siku kajisahau kadai yeye anaishi bongo kumkumbusha akasema anasoma online kumbana sana akaanza mitusi km kawaida yake.
Huyohuyo kuna siku anasema yeye sio mbongo anajisahau anasema baadae yeye mbongo.
Huyohuyo kuna siku yeye in shabiki wa simba akijisahau anasema shabiki wa yanga sasa jiroge umkosoe atatoa mitusi na mikashfa kibao halafu yeye ndie mwenye IQ kubwa kupita watu wote humu JF.
NYANI NGABU
 
Kuna jitu humu anajifanya mwanamke tena kwenye busaraaa watu wanamshobokea, kwa kuwa na hekima, si unajua ni mkongwe humu. Nikinuona matambala kichwani nacheka.

Mwaka 2015 nikaingia chimbo ahaaa ni lijianaume maana lilitesa sana kwenye kampeni. Ikabidi nifatilie nyooo!
 
Liongo sana lile lijitu,issue ya lissu lilidai wanatuhadaa tu ya kuwa muda wowote anakata roho sijui leo linajisikiaje,GENTAMYCINE BHANA
 
Humu utasikia,nina gari,nina degree sijui ni centigrade! ,wengine utasikia nafanya kazi kwenye shirika moja kubwa hapa mjini....baada ya week anakuja tena na uzi mwengine...."natafuta kazi yoyote iliyo halali elimu yangu darasa la saba"
Kuna jamaa kasema hao wana ndimi mbili...
 
Kuna jitu humu anajifanya mwanamke tena kwenye busaraaa watu wanamshobokea, kwa kuwa na hekima, si unajua ni mkongwe humu. Nikinuona matambala kichwani nacheka.

Mwaka 2015 nikaingia chimbo ahaaa ni lijianaume maana lilitesa sana kwenye kampeni. Ikabidi nifatilie nyooo!
Ahahaa...
Kama vile nataka kulifahamu hivi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom