Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

Namwona mwalimu Kaijage yule swaiba wa ZZK amepiga simu na kumpongoza Polepole
 
Raisi anatakiwa awe mtu wa kupanga mambo na aijue nchi vizuri na nini kinachoitajika. Hivyo sio vizuri Raisi awe kama askari wa mwamvuli, maana askari wa mwamvuli amezoeya kutumwa na kuingia fild kupambana na Makufuli ni kama Askari mwamvuli.
By: Polepole

mkuu huyu jamaa anajichanganya wakati wa mdahalo wa walioba na Butiku, akasema yeye anamtaka mtu ambaye hana kashifa wala hasiye penda rushwa na mchapa kazi ,na akasema kama ccm haitapitisha mtu anayekubalika atawambia watanzania wasipigie ccm kura leo hii anakuja na kuponda magufuli haeleweki,
 
Haka kamwalimu kanadhalilisha sana walimu wake,
 
mkuu huyu jamaa anajichanganya wakati wa mdahalo wa walioba na Butiku, akasema yeye anamtaka mtu ambaye hana kashifa wala hasiye penda rushwa na mchapa kazi ,na akasema kama ccm haitapitisha mtu anayekubalika atawambia watanzania wasipigie ccm kura leo hii anakuja na kuponda magufuli haeleweki,

Ni kweli kabisa.
Huyu Dogo nakiherehere sana, maana wenzake wamenyamaza kimebaki kenyewe. Yani hakipendezi ata kuonekana kwenye tv kimepauka sana utazani mjusi wa kwenye mawe vile.
 
Anajikanyaga mwenyewe,huyuvhuyu Magufuli alikuwepo kwenye bunge la katiba hakufanya kitu,baya zaidi makamu wake alikuwa mwenyekiti msaidizi wa bunge la katiba...anadhani anaweza kumshusha kiasi hicho cha kutengua hatua iliyofikiwa?
 
Huyu Dogo Boya sana.

Eti anasema kuwa Magufuli awasaidie watanzania kupata katiba mpya.

Yani nimemzarau sana maana Ukawa wamejipambanua wazi kuwa wakiingia madarakani ni lazima mawazo ya wananchi yaheshimiwe na katiba mpya lazima ipatikane.

Sasa kama anania ya dhati si aiunge Ukawa mkono?
 
kumbe wengi wanamjua magufuli alivyomchapamkazi asante magufuli unajiuza tutatembea na wewe popote kona zote za nchi hii maana hatunashia na kazi tunayoifanya,
 
Kiukweli huyu dogo kaharibu kabisa siku yangu sijui ata kama nitalala vizuri leo.

Usiku mwema wadau
 
Anajikanyaga mwenyewe,huyuvhuyu Magufuli alikuwepo kwenye bunge la katiba hakufanya kitu,baya zaidi makamu wake alikuwa mwenyekiti msaidizi wa bunge la katiba...anadhani anaweza kumshusha kiasi hicho cha kutengua hatua iliyofikiwa?

hacha kukurupuka ulimuona kwekye bunge la katiba mavuvuzera mnashida,nendeni mkamwambie mzee wa kungangania apishe wengine,
 
hacha kukurupuka ulimuona kwekye bunge la katiba mavuvuzera mnashida,nendeni mkamwambie mzee wa kungangania apishe wengine,

Wabunge wote wa JMT walikuwa wajumbe wa bunge la katiba..sasa sijui anayekurupuka ni mimi au wewe..
Kakojoe ulalee,shule zimefunguliwa.
 
Pole pole amesahau mwalimu alisema mpitisheni mtu anayekubalika na wananchi,na mtu anayekubalika na wananchi wengi ni dr slaa

kwa kipi alichowafanyia watanzania na miaka yake 70? hawezi kutuaminisha na mipasho yake hewa,
 
Wabunge wote wa JMT walikuwa wajumbe wa bunge la katiba..sasa sijui anayekurupuka ni mimi au wewe..
Kakojoe ulalee,shule zimefunguliwa.

kweli unakurupuka na siasa za kinafiki,kwanini unamparamia magufuli yeye peke yake na kumuhukumu kuwa alichangia kukwamisha katiba ,unauhakika gani kuwa hakutoa chango wa kupatikana katiba,hewa tupu.
 
Nani ana CV yake humu ??

Ukawa wamuweke Tundu Lisu otherwise watangoja sanaa.
 
Polepole yuko vizuri tatizo ni watanzania tuko vichwa maji ipo siku mtamuelewa na kukumbuka
 
Polepole yuko sahihi. Kwanza kwa mujibu wa Biblia Takatifu Dr Slaa anavunja amri ya 6 kwa makusudi na tena amemfanya Rose naye kuivunja amri hiyo, so kapoteza sifa ya kuwa kiongozi. Na ukawa muelewe mgombea wa ccm siyo mtu wa mataifa kama 2010 hivyo vigezo vya kiimani sisi waamini tutavitumia kuwapima. Ukawa take care!!
 
kijana yuko vizuri,tatizo atufikiri mbali,alichosema kimtazamo kipo sahihi.
 
Back
Top Bottom