Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

Allyoki

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2007
Posts
289
Reaction score
183
Leo kwenye kipindi cha tv mada moto live on channel ten live kuelekea uchaguzi mkuu 2015 saa 10:10pm.
 
Huyu dogo anajishushia hadhi siku baada ya siku.

Ndio maana kimeanza kuzeeka, ukiangalia sura na umri wake haviendani kabisa. Kweli njaa mbaya
 
Semeni anasemaje na sisi tumjaji .
 
Huyu pole pole anacheza na akili za buku7 sio mtu mzuri hata kidogo
 
Huyu dogo anamponda makufuli. Anasema makufuli hakustaili kuwa mgombea uraisi kupitia ccm, bali alipewa kama zawadi. Hivyo Makufuli atakuwa hajiamini kama atakuwa Raisi.
By, Polepole
 
Raisi anatakiwa awe mtu wa kupanga mambo na aijue nchi vizuri na nini kinachoitajika. Hivyo sio vizuri Raisi awe kama askari wa mwamvuli, maana askari wa mwamvuli amezoeya kutumwa na kuingia fild kupambana na Makufuli ni kama Askari mwamvuli.
By: Polepole
 
Naona toka ajitangaze yeye ni sisiemu damu amepoteza wateja kiaso fulani!
 
Kuanzia leo nitamdharau kupita maelekezo
 
Huyu dogo sijui kala maharage ya wapi tena.....

Eti Lipumba na Dr. Slaa wasigombee ili kuleta sura ya Ukawa.

Inaonekana huyu Dogo wanamgombea wao hivyo anataka midebwedo kama kina Magufuli ili wapite kilaini.
 
huyu pole pole kaanza kutumika vibaya

huyu dogo amezidi, amemwacha kumponda makufuli sasa ameiingilia ukawa.

Anaonekana kama anataka kuiponda na ukaw tena.

Sasa sijui anataka nani agombee! Huenda ile tume ya katiba imejigeuza kuwa chama cha siasa kisirisiri na sasa huenda huyu dogo akataka warioba agombee uraisi

huyu dogo yupo vizuri na anaona mbali. Mm namkubalia hoja zake kuhusu magufuli
 
Huyu magufuli ameshamwaidi cheo,sasa anataka tuchukue mawazo yake ili ccm wapite kiulaini mfuuuuu huyu
 
Pole pole anatuletea unajimu wa kipuuzi,Yeye asubiri kesho asikie ache kuhadaha watz
 
Pole pole amesahau mwalimu alisema mpitisheni mtu anayekubalika na wananchi,na mtu anayekubalika na wananchi wengi ni dr slaa
 
Back
Top Bottom