Humphrey Polepole: Tusiwatukane wapinzani

Bila matusi hakuna CCM,
Matusi ni malezi yalipandikizwa na yaliopaliliwa na waanzilishi wake wa TANU mara baada ya uhuru,Mwl alikuwa bingwa na kinara wa matusi,vivyo hivyo matusi yalipandikizwa hadi RTD kama kipindi maarufu cha mazungumzo baada ya habari.
Matusi ni mtaji wa kisiasa kwa CCM.
 
1478154751994.jpg
 
Huyu pole pole alisikilizwa awali sababu ya misimamo kuhusu katiba walimnunua kwa kumpa u DC sasa hivi iyo nafac waliompa ndo wamemmaliza nani asikilize hoja zake tena makijani wakitaka kukupoteza na kukuzalilisha kama Lipumba kwa pesa wako vizuri
 
CCM sio rahisi kuacha matusi nadhani ni katiba yao inaelekeza hebu tujiulize kwanini CCM ilitumia gharama kubwa kumtukana Mh.Lowassa Na kusahau mema yote aliyoyafanya ndani ya ccm?Isitoshe in miongoni mwa viongozi wanaolindwa Na katiba?
 
Pole pole mwenyewe ametukana sana kwenye tv na mitandaoni , hana uwezo wa kukataza wengine.

Hivi ni kweli kwamba Polepole hamjui Sadifa ?
 
huu unafiki ataacha lini? alikuwa wapi muda wote......kumbe mpaka apewe ulaji ndio aibuke kukemea!
 
CCM sio rahisi kuacha matusi nadhani ni katiba yao inaelekeza hebu tujiulize kwanini CCM ilitumia gharama kubwa kumtukana Mh.Lowassa Na kusahau mema yote aliyoyafanya ndani ya ccm?Isitoshe in miongoni mwa viongozi wanaolindwa Na katiba?
Kumbuka watu kama Kibajaji, Nape, Ole sendeka, hata yule anayejiita waziri wa sheria na katiba wataongea nini jamani bila matusi!??
 
Sawa, sisemi neno - hata hivyo ni suala la kujenga hoja ukikuta mtu anatukana basi huyu si sbb ni CCM au cdm - ni makuzi mabovu.
Msakila KABENDE
 
Nimeamini ukiingia tu chama hiki unakuwa umejitoa ufahamu! Hivi kweli hajui kwanini wanachama wa chama chake hutukana kwenye mitandao na majukwaani? naomba nitumia jukwaa hili kumrudishia ufahamu wake japo kwa muda tu. Yako mambo 2 ambayo hufanya wanachama wa chama chako kutukana kwenye mitandao na majukwaa. 1. Uelewa mdogo (shule kiduchu) 2. Kupinga ukweli, unawezaje kupinga ukweli bila kutukana! Sasa ili waacha kutukana majukwaani na kwenye mitandao sio tu kuwaambia waache kutukana, inabidi waende shule na sio kwenda shule tu, ni kwenda shule na kuelewa. Pili waacha kupingana na ukweli!
 
Pole pole Twambie unamsimamo gani na Tegeta Escrow? Je PAP imenunua IPTL kihalali na hela iliokuwepo wenye account ya Tegeta Escrow sio ya umma?
 
Mtu Yeyote anaye waponda wapinzani uelewa wake uko chini sana, bila upinzani tusingekuwa hivi, hata CCM yetu inajipanga upya kwasababu ya timi imara ya Upinzani.
 
Wataachaje wakati wenyeviti wastaafu kina Mkapa nivinara wa matusi anatafuta gia uyooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom