imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,036
Sina shida na Sura,kuna Watu walikuwa na sura mbaya kama Hayati Remmy Ongala lakini Roho nzuri.Nchi inawakilishwaje na watu wenye sura ya namna hii?! Tusiaibishe nchi bana.
Ila huyo jamaa aliyekakamaa sura alikuwa anafurahi kumshauri Magufuli auwe Wapinzani,ana Roho mbaya sana.