Humphrey Polepole: Tusije kusitisha jitihada zetu zakujiletea maendelea sababu ya mikutano ya kimataifa ya mazingira.

Sina shida na Sura,kuna Watu walikuwa na sura mbaya kama Hayati Remmy Ongala lakini Roho nzuri.

Ila huyo jamaa aliyekakamaa sura alikuwa anafurahi kumshauri Magufuli auwe Wapinzani,ana Roho mbaya sana.
Mbona hakukua wewe na utopolo wako huo.
 
H.polepole wakat alipo kuwa mwenezi alikuwa na kipindi chake kile ktk tv station ya TBC,, kile kipindi kilikuwa kina saidia sanaa
Chanel Ten siyo TBC.
PAPO KWA PAPO.
Kwa maafisa/mabosi kilikuwa hakipendwi.Mambosasa alikuwa anajibu kwa mwenezi wa chama maelekezo mkuu.

Yaani afisa wa Jeshi anamtii mwenezi.Sasa chama huwa kinaunda serikali ya ninj
Kilikuwa kipindi cha kicking an is hi sana.
 
Hahaha kuna.wazir mmoja kila.akipigiwa simu eti simu yake ilikuwa haipatikan kipindi kikiwa hewan 😆😆😆
 
Back
Top Bottom