SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
Kama ni hivyo wafia dini tuko wengi sana tena pande zote.Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda
Polepole si mkatoliki, ni mpentecost, mimi ponjoro wa kinondoni namfahamu maana alikuwa hatutaki sisi wahuni.
Naamwe unajua viete wewe?
Mbona rodini kwa gwajima hatukuoni kila Jumapili kwenye maandamano?Kama ni hivyo wafia dini tuko wengi sana tena pande zote.
Si kweli ni mkatoliki. Fanya home work yako vizuri.Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda
Mbona hilo lipo clearTujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
Avuliwe ubalozi kama Dkt wa Mchongo SilaaMbona hilo lipo clear