Humphrey Polepole: Ipo serikali nyingine isiyoonekana (ya wasiojulikana). Hii ndiyo inayoamua kila kitu na hii nyingine ya nje ni mwanasesere tu

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,612
Reaction score
9,269
"....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Futungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola

Hivi ni vikundi vya watu wachache (serikali ya wasiojulikana) waliounda kiserikali chao ndani ya serikali tunayoijua chini ya Bi Samia Suluhu Hassan. Hiki kikundi ndicho kinachokula na kuteketeza kodi yote ya nchi hii..

Kikundi hiki ni hatari sana kwa mustakabali wa mfumo wa kisiasa wa nchi na mfumo mzima wa kiuchumi wa taifa letu....

Aidha, kikundi hiki ni hatari kwa kuwa ndicho kinafanya maamuzi yote ya nchi hii na kina uwezo wa kumdhalilisha na kumbagaza yeyote watakayemuona anatishia maslahi yao..."

Haya ni maneno ya kada wa CCM Humphrey Polepole aliyoyasema takribani miaka minne au mitano iliyopita alipokuwa akijadili mustakabali wa nchi na taifa hili...

Sasa kikundi hiki kimejidhirisha rasmi ndani ya u - Rais wa Bi Samia Suluhu Hassan na matokeo yake ni haya yanayotokea...

Amesema kuwa, kule Angola na Congo vikundi hivi vlianza kama mchezo mwisho vilikomaa na kuja kushituka serikali na wananchi kila walivyojaribu kuvibomoa ilikuwa ni kazi ngumu kidogo na mwisho wake siku zote huwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe...

Tanzania tuko kwenye mtanziko huu sasa.

Hapa chini 👇👇ni video ya Mtanzania mtumishi wa Mungu mmoja anayeishi Kenya....

Sikiliza mahubiri yake kuhusu kufungiwa kwa kanisa la GCTC linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Yanafikirisha na kubeba maudhui yanayoshabihiana kwa 100% na kauli ya Humphrey Polepole..

View: https://www.youtube.com/live/4B08F5WyLeI?si=TaqjlTsZUZ1mZ-ec
Yajayo yanafurahisha

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissuNow
#BringMdudeNyagaliBack
#OpenBackGCTChurch
 
View: https://youtu.be/-FeHe4NDQ-M?si=VOdaMIcvI0fNRo5z
"....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Fatungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola

Hivi ni vikundi vya watu wachache (serikali ya wasiojulikana) waliounda kiserikali chao ndani ya serikali tunayoijua chini ya Bi Samia Suluhu Hassan. Hiki kikundi ndicho kinachokula na kuteketeza kodi yote ya nchi hii..

Kikundi hiki ni hatari sana kwa mustakabali wa mfumo wa kisiasa wa nchi na mfumo mzima wa kiuchumi wa taifa letu....

Aidha, kikundi hiki ni hatari kwa kuwa ndicho kinafanya maamuzi yote ya nchi hii na kina uwezo wa kumdhalilisha na kumbagaza yeyote watakayemuona anatishia maslahi yao..."

Haya ni maneno ya kada wa CCM Humphrey Polepole aliyoyasema takribani miaka minne au mitano iliyopita alipokuwa akijadili mustakabali wa nchi na taifa hili...

Sasa kikundi hiki kimejidhirisha rasmi ndani ya u - Rais wa Bi Samia Suluhu Hassan na matokeo yake ni haya yanayotokea...

Amesema kuwa, kule Angola na Congo vikundi hivi vlianza kama mchezo mwisho vilikomaa na kuja kushituka serikali na wananchi kila walivyojaribu kuvibomoa ilikuwa ni kazi ngumu kidogo na mwisho wake siku zote huwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe...

Tanzania tuko kwenye mtanziko huu sasa...

Hamna namna, ukweli lazima usemwe hata kama hawataki kuusikia
 
Tunaungana na Kila mwenye kuitetea haki kwa Moyo wa kweli sio kwa Hila au KUTAFUTA popularity
 
Back
Top Bottom