Huyu dogo CCM wanalaziisha sana coverage yao.Huyu mchambuzi ana hoja za msingi sana lakini kwakuwa anakwenda kinyume na matarajio ya UKAWA kipindi hichi cha uchaguzi basi anaonekana mpumbavu na lofa. Aliyokuwa anasimamia juu ya mgombea mwenye maadili CCM ndio hayo hayo anayosisitiza mpaka UKAWA.Tuwe wakweli tuache kumshambulia Polepole, nakumbuka kabla ya Lowassa kuja UKAWA wapenzi wa CHADEMA pamoja na viongozi wao waandamizi walikuwa wakimshambulia sana Lowassa, rekodi zipo kwenye mitandao.Baada ya kukatwa huyo na kuhamia kwa wasakatonge basi wafuasi wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wamejitoa akili na kusifia walichokuwa wakikipinga... Huu ni upumbavu.Tubadilike tufanye siasa zenye mashiko tuweze kumpata kiongozi atakayeweza kutupeleka kwenye nchi ya ahadi.Mimi kura yangu simpi kiongozi aliyeuza na kuifilisi ranchi ya Kitengule na kupeleka mradi wa maji Geita kwa sababu ana maslahi na madini kupitia kampuni dhalimu za madini, huku akiacha sehemu kubwa ya kanda ya Ziwa ikiwa haina maji.Majibu Ya Julius Mtatiro
soma vizuri mkuu utamwelewa, kasema kubwa lao limekatwa, hao wengine wanadhibitika, ila lileeeeeee.
Kubwa lao kwa mujibu wa nani? Kazi ya vikao vya maadili ni nini? Kuna mtu mbaya kama Chenge? Kuna deal gani amekosekana?
Halafu kibaraka hii ID nimeshaitambuwa hata kuke Facebook. Akili zako zimejaa funza.
sasa kutambua ID kunakusaidia nini? jibu hoja, Ina maana katika chama ukilinganisha kati ya Chenge na Lowasa nani aliyekuwa na madhara/ushawishi? Tumekata shina, hayo matawi yatakauka yenyewe.
Huyu mchambuzi ana hoja za msingi sana lakini kwakuwa anakwenda kinyume na matarajio ya UKAWA kipindi hichi cha uchaguzi basi anaonekana mpumbavu na lofa. Aliyokuwa anasimamia juu ya mgombea mwenye maadili CCM ndio hayo hayo anayosisitiza mpaka UKAWA.
Tuwe wakweli tuache kumshambulia Polepole, nakumbuka kabla ya Lowassa kuja UKAWA wapenzi wa CHADEMA pamoja na viongozi wao waandamizi walikuwa wakimshambulia sana Lowassa, rekodi zipo kwenye mitandao.Baada ya kukatwa huyo na kuhamia kwa wasakatonge basi wafuasi wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wamejitoa akili na kusifia walichokuwa wakikipinga... Huu ni upumbavu.
Tubadilike tufanye siasa zenye mashiko tuweze kumpata kiongozi atakayeweza kutupeleka kwenye nchi ya ahadi.
Mimi kura yangu simpi kiongozi aliyeuza na kuifilisi ranchi ya Kitengule na kupeleka mradi wa maji Geita kwa sababu ana maslahi na madini kupitia kampuni dhalimu za madini, huku akiacha sehemu kubwa ya kanda ya Ziwa ikiwa haina maji.
Majibu Ya Julius Mtatiro
naam maneno mengi yatasemwa kwa kipind kama hiki,kila mmoja atatoa hisia zake na kuwa na mihemko tofauti,kwangu mimi binafs sitafut umaaruh wa kisiasa,au nifahamike kokote,naweza kusema mimi ni mtu mdogo kuliko wote na mwenye upeo mdogo,lakn nikuwa ccm itashinda na magufur atakuwa rais,weng wanazungumza kwa kufata mkumbo na kuongea maneno ya matusi ili kutetea chama fulan,wamesahau huu ni wakat ambao unahtaj kiongoz bora wala si chama kizuri,sina sabab yakumbeza mtu ila kwa mwenye akil na hekma asome nyakat,ni hayo tu
iwe isiwe....lowassa kuongoza nchi hawez ipo wazi dhahili.....kama ameweza kuwa kigeugeu sababu ya madaraka.......kesho au keshokutwa,...hashindwi kuwageuka hata nyiynyi ukawa mnao mtegemea....kingozi kama huyo hatoshindwa pia kuwageuka....chekecheni akilimtuache kufwata mikumbo
Huyu mchambuzi ana hoja za msingi sana lakini kwakuwa anakwenda kinyume na matarajio ya UKAWA kipindi hichi cha uchaguzi basi anaonekana mpumbavu na lofa. Aliyokuwa anasimamia juu ya mgombea mwenye maadili CCM ndio hayo hayo anayosisitiza mpaka UKAWA.
Tuwe wakweli tuache kumshambulia Polepole, nakumbuka kabla ya Lowassa kuja UKAWA wapenzi wa CHADEMA pamoja na viongozi wao waandamizi walikuwa wakimshambulia sana Lowassa, rekodi zipo kwenye mitandao.Baada ya kukatwa huyo na kuhamia kwa wasakatonge basi wafuasi wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wamejitoa akili na kusifia walichokuwa wakikipinga... Huu ni upumbavu.
Tubadilike tufanye siasa zenye mashiko tuweze kumpata kiongozi atakayeweza kutupeleka kwenye nchi ya ahadi.
Mimi kura yangu simpi kiongozi aliyeuza na kuifilisi ranchi ya Kitengule na kupeleka mradi wa maji Geita kwa sababu ana maslahi na madini kupitia kampuni dhalimu za madini, huku akiacha sehemu kubwa ya kanda ya Ziwa ikiwa haina maji.
Majibu Ya Julius Mtatiro
Hivi Dr Slaa yuko wapi...? yeye atakuwa na majibu sahihi..na yeye sio kama wababaishaji hawa. anamsimamo usiotetereka. Wahenga walisema SUMU HAIONJWI..