Elections 2015 Humphrey Polepole: CCM ilifanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao yakakatwa...

UKAWA FEKI INATAKA IKULU IMEJAA WEZI NA MAFISADI (Mpolepole)

Zamani nilisema wezi na majizi wanaoutaka Urais kupitia CCM wakatwe, na nikaendelea kusema wasingekatwa ningepiga kampeni CCM isichaguliwe, Wakati huo UKAWA-FEKI walikuwa wakichekelea chekelea. CCM ikafanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao wakakatwa. Hongera CCM.

Leo baada ya majizi kukatwa na kuelekea sehemu fulani kwa ndugu zangu, unatarajia nichekelee? Nitaendelea kusema wakatwe na kwasababu ndugu zangu wamehadaika na tamaa zao za madaraka (na fedha nono nono za kifisadi) na sio Mageuzi, na wao Nimewakataa.

Na nitaendelea kusema hii ni UKAWA-FEKI, sio ile ya Katiba, hawa ni wajanja wajanja, wanadhani ikulu wanakaa wajanja wajanja.

Nimewakataa
Sasa tofauti ya sasa na zamani na nikitizama misimamo yangu ni ipi? Mbona wewe ulisema Lowassa ana hela chafu anapelekea viongozi wenye njaa katika Makanisa? Au ni halali pesa chafu kuja kwako na kwa wenzio ndugu yangu?

Tofauti kubwa kwakweli ni kiwango cha juu cha matusi kutoka UKAWA-FEKI ndio kilichoongezeka. Ila kwa MITUSI MIKUBWA nyie NOMA.
by
Humphrey Polepole
 
Tanzania tuna hulka ya kuheshimu mawazo ya kila mtu hata kama ni pumba kwa hiyo na yeye tumheshimu tu ingawa ni pumba
 
Ndio maana huyu Polepole alipata zero form six pale benjamin mkapa mwaka 2003. Jk kamnyanyua na sasa analipa fadhila. Divisheni zero huyu sasainaonekana wazi.
 
Mitusi mnayoporomosha hapa nya nini?. Ina maana mmeshindwa kujibu hoja za dogo.
 
Nilidhani elimu mali hadi
Polepole alipofungua kinyiwa na kuteta. The most "educated" are our greatest shame.
 
nilimtumia pm huyo pole pole..akajibu..tukawa tunajibzana zaid ya pm 6...nilichongundua ni mshenzi na nilimwambia kuwa ni mshenzi na hajitambui na hajui anachokisimamia yeye pamoja na hao wazee wake waliojificha chini ya kigoda cha mwalimu...
 
Kubwa lao kwa mujibu wa nani? Kazi ya vikao vya maadili ni nini? Kuna mtu mbaya kama Chenge? Kuna deal gani amekosekana?

Halafu kibaraka hii ID nimeshaitambuwa hata kuke Facebook. Akili zako zimejaa funza.

Mnaniudhi watu wa ukawa kwa kujitoa ufahamu hivi huyu chenge anagombania urais na.yeye? Mwambieni lowassa akae pembeni kutaka kuifisadi nchi yetu kama kiuongozi wetu mkuu uone kama Kuna mtu atamfuata.
Tatizo hatuwezi mpa urais mwizi, awe chenge, rostam, lowassa, karamagi, riz1 etc tofauti ya hawa na lowassa ni kutaka madaraka makuu kabisa ya Taifa. Hapo ndiyo shida.
 
Kati yao ni nani anagombea Urais?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Kwa hiyo mwizi ndani ta chama chenu kama hagombei Urais ni safi, kwa hiyo Ubunge hauhitaji mtu clean kwa CCM, are you serious dada FF? Unapitiliza ushabiki dada FF
 
Kwa hiyo mwizi ndani ta chama chenu kama hagombei Urais ni safi, kwa hiyo Ubunge hauhitaji mtu clean kwa CCM, are you serious dada FF? Unapitiliza ushabiki dada FF

Kuna mtu clean anaegombea urais sasa hivi zaidi ya Magufuli?
 
Kuna mtu clean anaegombea urais sasa hivi zaidi ya Magufuli?

Hakuna mtu ambaye ni clean 100% katika wagombea wote wa vyama hasa hawa wa CCM na UKAWA. Ref Prof Assad( Political Enterpreneurship) na Ref Sakata la Richmond! ? Je nani msafi hapo?
 
Back
Top Bottom