Eti wanataka kukosolewa kwa lugha nzuri!

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,697
Yaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.

Mwizi ni mwizi tuu hana jinsia anaweza kuwa mwanamke au mwanaume lakini yote ni majizi tuu bila kujali vyeo vyao.

Majizi haya yanatuhumu wanao pinga mkataba kuwa wamehongwa. Lakini wao wakiambiwa wamekula mlungula kwa kusaini mkataba feki ambao hata Mangungo wa Usagara karibu na kilosa angejua kusoma na kuandika angeukataa yanakasirika hayataki kuambiwa kuwa ni majizi.

Eti kuna vibwengo nimewasikia wanaimba usimseme mama vibaya mama yako kama ni jizi ni jizi tuu hakuna namna ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kama mna bandari zenu huko nyumbani kwenu wahongeni hao matapeli wenzenu lakini hizi za Tanganyika hapana. Maendeleo hayana vyamaa.
 
Majizi haya yanatuhumu wanao pinga mkataba kuwa wamehongwa. Lakini wao wakiambiwa wamekula mlungula kwa kusaini mkata ambao hata Mangungo angejua kusoma na kuandika angeukataa yanakasirika hayataki kuambiwa kuwa ni majizi.

Eti kuna vibwengo nimewasikia wanaimba usimseme mama vibaya mama yako kama ni jizi ni jizi tuu hakuna namna ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kama mna bandari zenu huko nyumbani kwenu wahongeni hao matapeli wenzenu lakini hizi za Tanganyika hapana.
Maendeleo hayana vyamaa.
Kumekucha.
 
Nyumbu wa wakwepa kodi wa bandarini yupo kazini kupigania tumbo lake.
Blue_Wildebeest,_Ngorongoro.jpg
 
Wanabaka uchaguzi alafu wanasema tutumie demokrasia
Halafu baadae yanata yaandike vitabu kuwa tulikula mlungula kutoka DIP WORLD matanganyika hayakustuka kama alivyo andika Mkapa kuwa yaliiba pesa benki kuu akaunti ya epa.
Safari hii tutaelewana tuu ninyi majizi
 
Yaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.

Mwizi ni mwizi tuu hana jinsia anaweza kuwa mwanamke au mwanaume lakini yote ni majizi tuu bila kujali vyeo vyao.

Majizi haya yanatuhumu wanao pinga mkataba kuwa wamehongwa. Lakini wao wakiambiwa wamekula mlungula kwa kusaini mkataba feki ambao hata Mangungo wa Usagara karibu na kilosa angejua kusoma na kuandika angeukataa yanakasirika hayataki kuambiwa kuwa ni majizi.

Eti kuna vibwengo nimewasikia wanaimba usimseme mama vibaya mama yako kama ni jizi ni jizi tuu hakuna namna ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kama mna bandari zenu huko nyumbani kwenu wahongeni hao matapeli wenzenu lakini hizi za Tanganyika hapana. Maendeleo hayana vyamaa.
Yaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.

Mwizi ni mwizi tuu hana jinsia anaweza kuwa mwanamke au mwanaume lakini yote ni majizi tuu bila kujali vyeo vyao.

Majizi haya yanatuhumu wanao pinga mkataba kuwa wamehongwa. Lakini wao wakiambiwa wamekula mlungula kwa kusaini mkataba feki ambao hata Mangungo wa Usagara karibu na kilosa angejua kusoma na kuandika angeukataa yanakasirika hayataki kuambiwa kuwa ni majizi.

Eti kuna vibwengo nimewasikia wanaimba usimseme mama vibaya mama yako kama ni jizi ni jizi tuu hakuna namna ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kama mna bandari zenu huko nyumbani kwenu wahongeni hao matapeli wenzenu lakini hizi za Tanganyika hapana. Maendeleo hayana vyamaa.
Jizi kuu limelala cchatto
 
Back
Top Bottom