Elections 2015 Humphrey Polepole: CCM ilifanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao yakakatwa...

Huyu mchambuzi ana hoja za msingi sana lakini kwakuwa anakwenda kinyume na matarajio ya UKAWA kipindi hichi cha uchaguzi basi anaonekana mpumbavu na lofa. Aliyokuwa anasimamia juu ya mgombea mwenye maadili CCM ndio hayo hayo anayosisitiza mpaka UKAWA.Tuwe wakweli tuache kumshambulia Polepole, nakumbuka kabla ya Lowassa kuja UKAWA wapenzi wa CHADEMA pamoja na viongozi wao waandamizi walikuwa wakimshambulia sana Lowassa, rekodi zipo kwenye mitandao.Baada ya kukatwa huyo na kuhamia kwa wasakatonge basi wafuasi wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wamejitoa akili na kusifia walichokuwa wakikipinga... Huu ni upumbavu.Tubadilike tufanye siasa zenye mashiko tuweze kumpata kiongozi atakayeweza kutupeleka kwenye nchi ya ahadi.Mimi kura yangu simpi kiongozi aliyeuza na kuifilisi ranchi ya Kitengule na kupeleka mradi wa maji Geita kwa sababu ana maslahi na madini kupitia kampuni dhalimu za madini, huku akiacha sehemu kubwa ya kanda ya Ziwa ikiwa haina maji.Majibu Ya Julius Mtatiro
Huyu dogo CCM wanalaziisha sana coverage yao.
 
naam maneno mengi yatasemwa kwa kipind kama hiki,kila mmoja atatoa hisia zake na kuwa na mihemko tofauti,kwangu mimi binafs sitafut umaaruh wa kisiasa,au nifahamike kokote,naweza kusema mimi ni mtu mdogo kuliko wote na mwenye upeo mdogo,lakn nikuwa ccm itashinda na magufur atakuwa rais,weng wanazungumza kwa kufata mkumbo na kuongea maneno ya matusi ili kutetea chama fulan,wamesahau huu ni wakat ambao unahtaj kiongoz bora wala si chama kizuri,sina sabab yakumbeza mtu ila kwa mwenye akil na hekma asome nyakat,ni hayo tu
 
Don talk abt polipoli please...Mpuuzeni cuz anatupotezea muda wa kuzumgumzia masuala ya msingi.Kama tumeshamjua kuwa mchumia tumbo,no need to diss him
 
Huyu Polepole ninavyomfuatilia kila siku anazidi kunipa mashaka mbali na kumsikitikia, sio ajabu tukamsikia akimuomba rais aitishe bunge la dharula kabla ya tarehe 25 Oktoba (bila kujua kuwa lilishavunjwa) ili kupitisha sheria matokeo ya kura za rais yasibandikwe kwenye vituo.
Hii huenda ikaja pale atakapogundua kuwa Tume ya Uchaguzi imeshaweka wazi kuwa hakuna sheria popote inayokataza matokeo yote (diwani, mbunge na rais) kubandikwa kura zilikopigiwa, nguvu pekee ya goli la mkono!
Nami kuna watu sikuwapenda kabisa lakini wamemaliza miaka 10 sasa hivyo ni bora naye akamvumilia EL kama Watanzania wanataka kumingiza Ikulu.
 
ccmwanapaswa kusifiwa hakuna ufisadi mkubwa kama kununua nchi na ndicho alichofanya na anachoendelea kufanya lowassa kuonyesha chadema amewanunua ni hatua ya kuzuia wanachama wengine wasichukue fomu ila yeye pekee wakati anakuja alilalamika kuwa ccm walimfanyia hila ili asigombee urais kama aliamini mchakato haukuwa huru je mchakato wa kuchukua fomu ya urais kupitia chadema ulikuwa huru chama kama chadema ni kweli alitakiwa ajitokeze mtu mmoja tena mgeni achukue fomu bila kupingwa.lowasa huyo huyo mliyekuwa mnamwita fisadi leo mnamtukuza ukiondoa Dr. slaa aliyekaa pembeni wengine wote ni wanafiki wanatumia matatizo ya watanzania ili nao wapate nafasi ya kujinufaisha wao na familia yao.ni kweli ukawa ni feki kama waliweza kumpokea said mkumba ambaye wakati wa bunge la katiba alikuwa anapingana nao na leo tena akawa mwenyekiti wa tanzania kwanza na wakampa fomu ya kugombea ubunge mpaka wanachama wa chadema sikonge wakagoma na baadae kurudi ccm ukawa wanatueleza walikuwa wanasimamia nini kwa kifupi ukawa ni feki ndio maana lipumba alijitoa kwa hoja tena akakaa pembeni
 
Kubwa lao kwa mujibu wa nani? Kazi ya vikao vya maadili ni nini? Kuna mtu mbaya kama Chenge? Kuna deal gani amekosekana?

Halafu kibaraka hii ID nimeshaitambuwa hata kuke Facebook. Akili zako zimejaa funza.

sasa kutambua ID kunakusaidia nini? jibu hoja, Ina maana katika chama ukilinganisha kati ya Chenge na Lowasa nani aliyekuwa na madhara/ushawishi? Tumekata shina, hayo matawi yatakauka yenyewe.
 
sasa kutambua ID kunakusaidia nini? jibu hoja, Ina maana katika chama ukilinganisha kati ya Chenge na Lowasa nani aliyekuwa na madhara/ushawishi? Tumekata shina, hayo matawi yatakauka yenyewe.

Kunasaidia kuwajuwa Matapeli kama wewe mnaoishi kwa kujikomba ili mnufaike na uwepo wa chama kibovu.
Wewe familia unayotoka ni njaa kali ila kwa kuwa kujikomba kwako kunakupa mkate endelea tu. Kwakuwa siku hizi hata nguruwe unakula basi wewe hakuna haram kwako
 
Huyu mchambuzi ana hoja za msingi sana lakini kwakuwa anakwenda kinyume na matarajio ya UKAWA kipindi hichi cha uchaguzi basi anaonekana mpumbavu na lofa. Aliyokuwa anasimamia juu ya mgombea mwenye maadili CCM ndio hayo hayo anayosisitiza mpaka UKAWA.

Tuwe wakweli tuache kumshambulia Polepole, nakumbuka kabla ya Lowassa kuja UKAWA wapenzi wa CHADEMA pamoja na viongozi wao waandamizi walikuwa wakimshambulia sana Lowassa, rekodi zipo kwenye mitandao.Baada ya kukatwa huyo na kuhamia kwa wasakatonge basi wafuasi wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wamejitoa akili na kusifia walichokuwa wakikipinga... Huu ni upumbavu.

Tubadilike tufanye siasa zenye mashiko tuweze kumpata kiongozi atakayeweza kutupeleka kwenye nchi ya ahadi.

Mimi kura yangu simpi kiongozi aliyeuza na kuifilisi ranchi ya Kitengule na kupeleka mradi wa maji Geita kwa sababu ana maslahi na madini kupitia kampuni dhalimu za madini, huku akiacha sehemu kubwa ya kanda ya Ziwa ikiwa haina maji.

Majibu Ya Julius Mtatiro

Haya majitu hayatumii akili mkuu, MTU akisema jambo kinyume Na matakwa yao anakuwa adui ni upumbavu
 
Wanasiasa ni wanafiki kwelikweli leo watajenga hoja hii kesho wanabadilika wanajenga hoja nyingine ukiwategemea wanasiasa kubadili maisha yako utasubiri sana,
kwani walio wengi wanatumikia matumbo yao.
ngoja nikawajibike kutafuta riziki nile na wanangu.
 
iwe isiwe....lowassa kuongoza nchi hawez ipo wazi dhahili.....kama ameweza kuwa kigeugeu sababu ya madaraka.......kesho au keshokutwa,...hashindwi kuwageuka hata nyiynyi ukawa mnao mtegemea....kingozi kama huyo hatoshindwa pia kuwageuka....chekecheni akilimtuache kufwata mikumbo
 
naam maneno mengi yatasemwa kwa kipind kama hiki,kila mmoja atatoa hisia zake na kuwa na mihemko tofauti,kwangu mimi binafs sitafut umaaruh wa kisiasa,au nifahamike kokote,naweza kusema mimi ni mtu mdogo kuliko wote na mwenye upeo mdogo,lakn nikuwa ccm itashinda na magufur atakuwa rais,weng wanazungumza kwa kufata mkumbo na kuongea maneno ya matusi ili kutetea chama fulan,wamesahau huu ni wakat ambao unahtaj kiongoz bora wala si chama kizuri,sina sabab yakumbeza mtu ila kwa mwenye akil na hekma asome nyakat,ni hayo tu

Mkuu "like" yako..
 
iwe isiwe....lowassa kuongoza nchi hawez ipo wazi dhahili.....kama ameweza kuwa kigeugeu sababu ya madaraka.......kesho au keshokutwa,...hashindwi kuwageuka hata nyiynyi ukawa mnao mtegemea....kingozi kama huyo hatoshindwa pia kuwageuka....chekecheni akilimtuache kufwata mikumbo

Viongozi wote walio baki ukawa ni vigeugeu,
Mbowe kabadili katiba ili aendeleekuongoza,
Edo kabadili chama ili awe raisi
Mgombe mwenza kahama chama ili awe makamu

Kuna siku hawa watageukana kila mmoja atataka kumgeuka mwenzake, hawafai na edo hafai kabisaaa
 
Chizi chnl siku alikuwa na malumbani na msigwà,alisema kama ccm watawarudisha ktk ubunge wezi Wa escrow yy atafanya kampeni na ukawa nchi nzima ccm isichaguliwe.sasa atimize hiyo ahadi yake
 
Huyu mchambuzi ana hoja za msingi sana lakini kwakuwa anakwenda kinyume na matarajio ya UKAWA kipindi hichi cha uchaguzi basi anaonekana mpumbavu na lofa. Aliyokuwa anasimamia juu ya mgombea mwenye maadili CCM ndio hayo hayo anayosisitiza mpaka UKAWA.

Tuwe wakweli tuache kumshambulia Polepole, nakumbuka kabla ya Lowassa kuja UKAWA wapenzi wa CHADEMA pamoja na viongozi wao waandamizi walikuwa wakimshambulia sana Lowassa, rekodi zipo kwenye mitandao.Baada ya kukatwa huyo na kuhamia kwa wasakatonge basi wafuasi wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wamejitoa akili na kusifia walichokuwa wakikipinga... Huu ni upumbavu.

Tubadilike tufanye siasa zenye mashiko tuweze kumpata kiongozi atakayeweza kutupeleka kwenye nchi ya ahadi.

Mimi kura yangu simpi kiongozi aliyeuza na kuifilisi ranchi ya Kitengule na kupeleka mradi wa maji Geita kwa sababu ana maslahi na madini kupitia kampuni dhalimu za madini, huku akiacha sehemu kubwa ya kanda ya Ziwa ikiwa haina maji.

Majibu Ya Julius Mtatiro

Mkuu naona huyo Polepole anajilazimisha kujitia upofu.
 
Hivi Dr Slaa yuko wapi...? yeye atakuwa na majibu sahihi..na yeye sio kama wababaishaji hawa. anamsimamo usiotetereka. Wahenga walisema SUMU HAIONJWI..
 
..ni mategemeo yangu kuwa wanasheria wa UKAWA wanafatilia hoja za polepole dhidi ya Lowassa kuhusu matusi na kejeli na shutma asizothibitisha....na kwa maana hiyo ni vema wanasheria hawa wakamfungulia kesi polepole ili akathibitishe yale anayosema...na asipofanya hivyo sheria ichukue mkondo wake dhidi ya polepole...Nadhani hii ndio itakuwa mbadala wa kushughulika na huyu mtu anayemchafua mgombea urais wa UKAWA....

...nasemea hivi kwa maana kwamba kama ccm yake polepole na watawala walishindwa kumfungulia kesi Lowassa kwa miaka 7+....basi leo polepole awathibitishie watanzania shutma zake dhidi ya Lowassa...mi naona hii ndio jinsi pekee ya ku deal nae kisheria....wengi wamefanya hivi...wakiwemo kina Manji...Mengi...Moto Mabanga(dhidi ya Zitto)...na hata Rostam....
 
Hakika POLOPOLE ameongea vizuri sana hizo hoja zake za msingi na kuchambua kwa umakini wa khali ya juu UKAWA-FEKI ni kundi la kijanjajanja linalotaka kuharibu khali yetu ya amani tanzania ccm ndio chaguo letu basi
 
Hivi Dr Slaa yuko wapi...? yeye atakuwa na majibu sahihi..na yeye sio kama wababaishaji hawa. anamsimamo usiotetereka. Wahenga walisema SUMU HAIONJWI..

Wakati mwingine ujilazimishe ulale siyo lazima uwepo hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom