Humphrey Polepole awaomba polisi, CHADEMA wasilinde kura

Humphrey Polepole awaomba polisi, CHADEMA wasilinde kura

Hamuwezi ushindani kila mtu ameona jinsi mnavyofanya hujuma za wazi. Mnaweza kutangazwa washindi lakini sio kushinda. Roho yangu ingeniuma na kufedheheka iwapo ccm ingeshinda kihalali. Lakini mpaka sasa nafurahi hata kama ccm itatangazwa washindi nimejiridhisha kwamba wananchi hawarubuniki kwa kuwa wanajitambua. Kesho kutwa mnaweza kutangazwa hata kushinda kwa asilimia 95% lakini ukweli uko wazi kwamba watu wamewachoka. Zile kelele za kwamba cdm wamesusia uchaguzi kwa kuogopa kushindwa rasmi zimefutika kwani sasa mko wazi kuliko wakati mwingine wowote. Bigup sana cdm.
Umeshakata tamaaa wanachama wenu chadema waliwashauri kuwa acheni msisimamishe wagombea chaguzi za marudio chadema ya slaa sio hii ya mbowe na lowasa watu hawaitaki chadema hii ya mbowe na lowasa hamkuwasikiliza .Subirini CCM tuwanyoe vichwa bila maji keshokutwa.Mtatukoma
 
Kwa kauli hii ni dhahiri kuwa ccm ina kale kanakoitwa frustration. Maana hoja iliyopo mezeni wanaoweza kuielewa ni misukule tu,lakini kwa wale wenye kutumia logic hawawezi hata kumalizia kusoma upuuzi huu uliojaa mawazo ya mtoto mwenye malaria Kali.
 
Kwa kauli hii ni dhahiri kuwa ccm ina kale kanakoitwa frustration. Maana hoja iliyopo mezeni wanaoweza kuielewa ni misukule tu,lakini kwa wale wenye kutumia logic hawawezi hata kumalizia kusoma upuuzi huu uliojaa mawazo ya mtoto mwenye malaria Kali.
 
Umeshakata tamaaa wanachama wenu chadema waliwashauri kuwa acheni msisimamishe wagombea chaguzi za marudio chadema ya slaa sio hii ya mbowe na lowasa watu hawaitaki chadema hii ya mbowe na lowasa hamkuwasikiliza .Subirini CCM tuwanyoe vichwa bila maji keshokutwa.Mtatukoma

Unachekesha walionuna, kama cdm hii haikubaliki tusingeona huu upuuzi na hujuma za wazi zinazofanywa na ccm kwa kutumia vyombo vya dola. Kwa hakika mko uchi huku mkilazimisha kukubalika. Mpaka sasa mmebaki kujilisha propaganda wenyewe kwamba cdm sijui ya Mbowe, sijui ya Lowassa. Ni ukweli kwamba tuko wapenzi wa cdm wengi tusiomkubali Lowassa lakini sio cdm. Mlitarajia cdm watajitoa ili mshinde kirahisi, saa hii wameshiriki na ndio hapa mmengia kwenye kudhalilika kwa mabavu mnayotumia. Narudia tena, ni ngumu sana kuvuta riziki kwa kamba.
 
Lengo ni vijana wengi wa chadema wakamatwe kwa kisingizio"tumewakuta vijana wa chadema ndani ya jengo moja wakiwa na silaha za moto"Kumbe lengo ni kuinusuru ccm.Hebu nendeni zenu huko na miroho yenu mibaya.
 
Lichama linalokwenda kwa nguvu ya kubustiwa na extra power.
 
Polepole amesema hayo leo Februari 15, 2018 wakati akiongea na waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge na nafasi za udiwani ambao unatarajia kufanyika Februari 17 2018 na kudai kuwa mpaka sasa wamepata taarifa kuwa CHADEMA wanachukua watu kutoka mikoani kuja kulinda kura kitu ambacho hakikubaliki.

"Zipo nyumba kadhaa hapa Dar es Salaam ambazo zimehifadhi watu wasio wakazi wametoka mikoa mbalimbali kuja hapa kwa kigezo cha kulinda kura, sisi hatufanyi siasa za matukio wala kutafuta kiki baada ya kujua hili tumewajulisha jeshi la polisi juu ya nyumba hizo na watu hao, kitakachofuata ni kushugulika na watu hao ambao hawapendi utaratibu mzuri na desturi yetu nzuri ya uchaguzi"

Polepole aliendelea kusema kuwa

"Kura hazilindwi na watu wanaoletwa kwa makundi bali kura kwa mujibu wa Katiba, Sheria ya uchaguzi na kanuni mbalimbali za uchaguzi zimewekewa utaratibu wa kisheria kuhakikisha mwenye yake na anaipata hiyo, upo utaratibu wa mawakala kila chama kina wakala huyo ndiye atakayeshiriki kuhesabu, kujua hii kura yangu au si yangu sasa unapoanza kuandaa watu wasiojulikana na kuwaleta Dar es Salaam ni kuleta taharuki na mpango huo msingi wake ni kutisha wakina mama, vijana na wazee wasijitokeze kwenda kupiga kura, tumesema jeshi la polisi tafadhali tena tafadhali sana watu wasiohusika na usimamizi wa zoezi la uchaguzi ni sheria hawapaswi kuwepo wanatakiwa kuwepo kwenye maeneo yao wakafanye kazi zao za kujiletea kipato, uchaguzi haulindwi na mabaunsa, kura hailindwi bali dola ina vyombo vyake ambavyo sisi wote vyama vya siasa tumekubaliana" alisisitiza Polepole


Source: EATV
 
CCM imeshindwa uchaguzi huko kino kabla ya kura
 
Chadema wanaweza kushinda nini Kinondoni?Kesho mwisho wa Kampeni
 
Huo si ni ulinzo shirikishi? Kwa nini yeye anauzuia? Aje azuiye na huku mitaani basi ili Polisi tu ndio walinde maana ndio jukumu lao!
 
Na hao vijana wake kutoka mikoa mbalimbali polisi iwafanyeje? !
 
Huo si ni ulinzo shirikishi? Kwa nini yeye anauzuia? Aje azuiye na huku mitaani basi ili Polisi tu ndio walinde maana ndio jukumu lao!
Hiki kizee kitavuna aibu kubwa.
FaceApp_1518711504349.jpg
 
Huwezi amini kama Polepole huyu ni yule yule kijana wa tume ya Warioba.
 
Back
Top Bottom