KAKA TANZANIA
Member
- Sep 19, 2016
- 65
- 40
Nazidi kupandwa na hasira....
Mkuu inabidi ! uvumilie tu! maana kuna mambo mengine ukisikia yanatia hasira.unashindwa kuelewa wale ni binadam au lah!.
Nazidi kupandwa na hasira....
wakalinde mageti kula hazilindwi.na ndio maana lincoln alisemaHutaki walinde kura zao, ndio mbinu za kisayanccm.
Anaongea asichokiamini.Na anajua hawapati kwenye hayo majimbo bila nguvu ya Polisi na Tume
Polepole anajua kwamba Chadema imeishashinda sasa anajaribu mbinu ile ya kishamba ya kutegemea polisi .
CCM bila wizi wa kura na polisi ni wepesi kama bua.
Mchawi anayeteseka anapofikia hatua ya kukaribia kufa huwa na tabia za kutaja watu wote aliowaroga na matukio ya kichawi aliyoyafanya. Ila mchawi huyu ana roho ya kibishi sana maana matukio na tabia zake bado anazisukumizia kwa watu wengine wasio husika.
Cc mshana jr
Nazidi kupandwa na hasira....
Naamini kuna ukweli katika hoja ya Polepole baada ya kumsikia Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, akiongea na vyombo vya habari, baada ya kuongoza kundi la viongozi wake katika uvamizi wa ofisi za NEC, kwa kuhoji ati kwa nini mawakala wao wanahitajika kuwa na vitambulisho.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amefunguka na kulitaka jeshi la polisi kuhakikisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakilindi kura kwani hilo si jukumu lao.
...
"Zipo nyumba kadhaa hapa Dar es Salaam ambazo zimehifadhi watu wasio wakazi wametoka mikoa mbalimbali kuja hapa kwa kigezo cha kulinda kura, sisi hatufanyi siasa za matukio wala kutafuta kiki baada ya kujua hili tumewajulisha jeshi la polisi juu ya nyumba hizo na watu hao, kitakachofuata ni kushugulika na watu hao ambao hawapendi utaratibu mzuri na desturi yetu nzuri ya uchaguzi" [/I]
...
Hapa naona polepole kaanza kucheza na akili za chadema huu uchaguzi hauko vizur kwa upande wa ccm wanahangaika sana washakabwa.
Idiot.wakalinde mageti kula hazilindwi.na ndio maana lincoln alisema
"ballot is the stronger than bullet"
hivyo kulinda kura na silaha au kwa namna yeyote ili ni kuvunja sheria za tume ya taifa ya uchaguzi.otherwise wakae mita mia moja aisee
Hiki kizee kimechanganyikiwa.Kweli kazi tunayo. Kwani kama wanalinda kura shida iko wapi labda wafanye fujo! Hakuna haja ya kuweweseka hapo. Kama kuna mtu anataka achape kura sawa lazima aogope ulinzi na kama jamaa sipoli inawasaidia lazima aende kwao! The same clan, the same game! Afrika tuna kazi!
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amefunguka na kulitaka jeshi la polisi kuhakikisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakilindi kura kwani hilo si jukumu lao.
![]()
Polepole amesema hayo leo Februari 15, 2018 wakati akiongea na waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge na nafasi za udiwani ambao unatarajia kufanyika Februari 17 2018 na kudai kuwa mpaka sasa wamepata taarifa kuwa CHADEMA wanachukua watu kutoka mikoani kuja kulinda kura kitu ambacho hakikubaliki.
"Zipo nyumba kadhaa hapa Dar es Salaam ambazo zimehifadhi watu wasio wakazi wametoka mikoa mbalimbali kuja hapa kwa kigezo cha kulinda kura, sisi hatufanyi siasa za matukio wala kutafuta kiki baada ya kujua hili tumewajulisha jeshi la polisi juu ya nyumba hizo na watu hao, kitakachofuata ni kushugulika na watu hao ambao hawapendi utaratibu mzuri na desturi yetu nzuri ya uchaguzi"
Polepole aliendelea kusema kuwa
"Kura hazilindwi na watu wanaoletwa kwa makundi bali kura kwa mujibu wa Katiba, Sheria ya uchaguzi na kanuni mbalimbali za uchaguzi zimewekewa utaratibu wa kisheria kuhakikisha mwenye yake na anaipata hiyo, upo utaratibu wa mawakala kila chama kina wakala huyo ndiye atakayeshiriki kuhesabu, kujua hii kura yangu au si yangu sasa unapoanza kuandaa watu wasiojulikana na kuwaleta Dar es Salaam ni kuleta taharuki na mpango huo msingi wake ni kutisha wakina mama, vijana na wazee wasijitokeze kwenda kupiga kura, tumesema jeshi la polisi tafadhali tena tafadhali sana watu wasiohusika na usimamizi wa zoezi la uchaguzi ni sheria hawapaswi kuwepo wanatakiwa kuwepo kwenye maeneo yao wakafanye kazi zao za kujiletea kipato, uchaguzi haulindwi na mabaunsa, kura hailindwi bali dola ina vyombo vyake ambavyo sisi wote vyama vya siasa tumekubaliana" alisisitiza Polepole
My take:
Hapa naona polepole kaanza kucheza na akili za chadema huu uchaguzi hauko vizur kwa upande wa ccm wanahangaika sana washakabwa.
Jitoe muhanga mkuuNazidi kupandwa na hasira....