Unasema tumpuuze Polepole halafu sababu zenye mashiko huna wewe kidampa wa bi Mwenda?
Mwisho unamalizia na hashtag za kumpamba bi Mwenda mimi nikuulize anashindana na nani kwenye huo mnaouita uchaguzi?
Unasema kuna amani halafu muda huo huo Polepole anamwaga mtama akiwa uhamishoni amani ingekuwepo ingetakiwa aliyoyasema hadi sasa kuna watu wangekuwa kwenye uchunguzi na hatua inayofuata ingekuwa kuleta mashahidi.

Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote HATUWEZI kumpuza kiongozi aliekua sehemu ya serikali iliyopita ya jiwe.kisha tumuelewe rais ambae ako na Boss wake nae ni JK.
KAZI ni kipimo cha utu