Humphrey Polepole apuuziwe na taarifa za uongo

UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA .
🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu.
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa:

1.Global Peace Index 2025
Tanzania imeshika nafasi ya 73 duniani kati ya nchi 163.
Ndio nchi ya kwanza kwa amani Afrika Mashariki.
Viwango hivi hutolewa na taasisi huru za kimataifa kwa vigezo 23 (usalama wa wananchi, migogoro, na nguvu za kijeshi).
2. Usalama wa Watalii.
Mwaka 2025, Tanzania iliorodheshwa kama miongoni mwa nchi 8 salama zaidi barani Afrika.
Hii imeimarisha sekta ya utalii na uwekezaji.
Uongozi wa Kikanda (SADC)

Julai 2025, Tanzania iliandaa Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC jijini Dar es Salaam.
Rais Samia Suluhu Hassan alichaguliwa Mwenyekiti wa Asasi ya SADC ya Siasa, Ulinzi na Usalama mwaka 2024.
Tanzania imetekeleza zaidi ya 70% ya maamuzi ya SADC, ikionyesha dhamira ya kweli ya kuimarisha amani na mshikamano wa kikanda.

Historia ya Tanzania kama Nchi ya Amani
Tanzania imekuwa msingi wa mazungumzo ya amani:
Arusha Accords (Rwanda 1993, Burundi 2000).
Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yapo Arusha – ishara ya kuaminiwa kwa utulivu wake.
Imepokea na kulea wakimbizi kutoka nchi jirani kwa miongo mingi.

Hitimisho
Tanzania haijapewa sifa ya amani kwa “maslahi ya mataifa ya nje,” bali kwa matendo, historia, na data halisi.
🇹🇿 Ni kweli kabisa kwamba Tanzania ni ngome ya amani Afrika Mashariki na mfano wa kuigwa barani Afrika.

Ndugu zangu watanzania tusikubali kudanganyika na kuharibu amani kwa Watu Wachache wenye uchu na madaraka

#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
#samia_suluhu_hassan
#ikulu_mawasiliano
#ccmtanzania
AMANI bila HAKI! ulishaona wapi?
 
KUna watu mnaishi kwa shida sana. Nawahurumia waliowazaa.
 
Binafsi natamani sana kumpuuza Polepole, lakini mbona hamji na hoja za maana zinazoweza kutusaidia kumpuuza?
Wewe kama mimi. Natamani wangetoa majibu yenye hoja zenye mashiko ili tumpuuze ndg polepole.

Juzi JK anasema eti ni utaratibu wa chama kwa awamu ya pili fomu kutolewa moja. Sasa awamu ya kwanza ya 'mama' ni ipi katika ushindani? Ni lini aliomba kuwa rais?

Binafsi nasema hivi, nchi hii bado haijawahi kuwa na rais mwanamke aliyepambana na kupata nafasi hiyo kihalali. Huyu wa sasa ni kwa kudra tu +kubebwa na mstaafu JK. Huo ndio ukweli. Na mimi kama mwanamke inanifedhehesha sana.

Ilitakiwa awamu hii mama apambane na wanaume + wanawake wenzake ili kuonesha uwezo wake. Na ingemjengea heshima na ujasiri kuliko ilivyo hivi sasa. Inafika hatua anawaomba TK na maafisa usafirishaji wamsaidie kuomba kura!!!
 
UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA.

🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu.
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa:

1. Global Peace Index 2025
Tanzania imeshika nafasi ya 73 duniani kati ya nchi 163.
Ndio nchi ya kwanza kwa amani Afrika Mashariki.

Viwango hivi hutolewa na taasisi huru za kimataifa kwa vigezo 23 (usalama wa wananchi, migogoro, na nguvu za kijeshi).

2. Usalama wa Watalii.
Mwaka 2025, Tanzania iliorodheshwa kama miongoni mwa nchi 8 salama zaidi barani Afrika.
Hii imeimarisha sekta ya utalii na uwekezaji.
Uongozi wa Kikanda (SADC)

Julai 2025, Tanzania iliandaa Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC jijini Dar es Salaam.

Rais Samia Suluhu Hassan alichaguliwa Mwenyekiti wa Asasi ya SADC ya Siasa, Ulinzi na Usalama mwaka 2024.

Tanzania imetekeleza zaidi ya 70% ya maamuzi ya SADC, ikionyesha dhamira ya kweli ya kuimarisha amani na mshikamano wa kikanda.

Historia ya Tanzania kama Nchi ya Amani
Tanzania imekuwa msingi wa mazungumzo ya amani:
Arusha Accords (Rwanda 1993, Burundi 2000).

Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yapo Arusha – ishara ya kuaminiwa kwa utulivu wake.

Imepokea na kulea wakimbizi kutoka nchi jirani kwa miongo mingi.

Hitimisho
Tanzania haijapewa sifa ya amani kwa “maslahi ya mataifa ya nje,” bali kwa matendo, historia, na data halisi.

🇹🇿 Ni kweli kabisa kwamba Tanzania ni ngome ya amani Afrika Mashariki na mfano wa kuigwa barani Afrika.

Ndugu zangu watanzania tusikubali kudanganyika na kuharibu amani kwa Watu Wachache wenye uchu na madaraka

#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
#samia_suluhu_hassan
#ikulu_mawasiliano
#ccmtanzania
Hapo zamani za kale Shetani alikuwa mmoja wa Malaika huko Mbinguni. Lakini baada ya kuasi, Mungu alimtupa mbali ambako anaishi mpaka leo.

Alipotupwa aliongozana na Malaika wengine waliomuunga mkono kwenye uasi wake. Hapo akapata wafuasi wengi.mno ambao huwapa mali na.maisha mazuri alimradi tu wamtumikie siku zote za maisha yao.

Kama una akili, utaelewa. Lakini kama ni bolizozo utabaki kukodoa mimacho tu kama Sangara.
 
Wewe kama mimi. Natamani wangetoa majibu yenye hoja zenye mashiko ili tumpuuze ndg polepole.

Juzi JK anasema eti ni utaratibu wa chama kwa awamu ya pili fomu kutolewa moja. Sasa awamu ya kwanza ya 'mama' ni ipi katika ushindani? Ni lini aliomba kuwa rais?

Binafsi nasema hivi, nchi hii bado haijawahi kuwa na rais mwanamke aliyepambana na kupata nafasi hiyo kihalali. Huyu wa sasa ni kwa kudra tu +kubebwa na mstaafu JK. Huo ndio ukweli. Na mimi kama mwanamke inanifedhehesha sana.

Ilitakiwa awamu hii mama apambane na wanaume + wanawake wenzake ili kuonesha uwezo wake. Na ingemjengea heshima na ujasiri kuliko ilivyo hivi sasa. Inafika hatua anawaomba TK na maafisa usafirishaji wamsaidie kuomba kura!!!
Hili swali hata mimi nilijiuliza na kweli nilimshangaa sana Rais Mstaafu. Nilijiuliza pengine amesahau kwamba Samia hajawahi kuchukua fomu na kuomba ridhaa ya wanaCCM kumteua awe mgombea wa urais.

UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA.

🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu.
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa:

1. Global Peace Index 2025
Tanzania imeshika nafasi ya 73 duniani kati ya nchi 163.
Ndio nchi ya kwanza kwa amani Afrika Mashariki.

Viwango hivi hutolewa na taasisi huru za kimataifa kwa vigezo 23 (usalama wa wananchi, migogoro, na nguvu za kijeshi).

2. Usalama wa Watalii.
Mwaka 2025, Tanzania iliorodheshwa kama miongoni mwa nchi 8 salama zaidi barani Afrika.
Hii imeimarisha sekta ya utalii na uwekezaji.
Uongozi wa Kikanda (SADC)

Julai 2025, Tanzania iliandaa Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC jijini Dar es Salaam.

Rais Samia Suluhu Hassan alichaguliwa Mwenyekiti wa Asasi ya SADC ya Siasa, Ulinzi na Usalama mwaka 2024.

Tanzania imetekeleza zaidi ya 70% ya maamuzi ya SADC, ikionyesha dhamira ya kweli ya kuimarisha amani na mshikamano wa kikanda.

Historia ya Tanzania kama Nchi ya Amani
Tanzania imekuwa msingi wa mazungumzo ya amani:
Arusha Accords (Rwanda 1993, Burundi 2000).

Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yapo Arusha – ishara ya kuaminiwa kwa utulivu wake.

Imepokea na kulea wakimbizi kutoka nchi jirani kwa miongo mingi.

Hitimisho
Tanzania haijapewa sifa ya amani kwa “maslahi ya mataifa ya nje,” bali kwa matendo, historia, na data halisi.

🇹🇿 Ni kweli kabisa kwamba Tanzania ni ngome ya amani Afrika Mashariki na mfano wa kuigwa barani Afrika.

Ndugu zangu watanzania tusikubali kudanganyika na kuharibu amani kwa Watu Wachache wenye uchu na madaraka

#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
#samia_suluhu_hassan
#ikulu_mawasiliano
#ccmtanzania
Umejijambia usoni
 
Ama kwa hakika wewe ni Mwanamtandao, au umelipwa tsh. 7,000/=.
 
Wewe kama mimi. Natamani wangetoa majibu yenye hoja zenye mashiko ili tumpuuze ndg polepole.

Juzi JK anasema eti ni utaratibu wa chama kwa awamu ya pili fomu kutolewa moja. Sasa awamu ya kwanza ya 'mama' ni ipi katika ushindani? Ni lini aliomba kuwa rais?

Binafsi nasema hivi, nchi hii bado haijawahi kuwa na rais mwanamke aliyepambana na kupata nafasi hiyo kihalali. Huyu wa sasa ni kwa kudra tu +kubebwa na mstaafu JK. Huo ndio ukweli. Na mimi kama mwanamke inanifedhehesha sana.

Ilitakiwa awamu hii mama apambane na wanaume + wanawake wenzake ili kuonesha uwezo wake. Na ingemjengea heshima na ujasiri kuliko ilivyo hivi sasa. Inafika hatua anawaomba TK na maafisa usafirishaji wamsaidie kuomba kura!!!
100%✓
 
UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA.

🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu.
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa:

1. Global Peace Index 2025
Tanzania imeshika nafasi ya 73 duniani kati ya nchi 163.
Ndio nchi ya kwanza kwa amani Afrika Mashariki.

Viwango hivi hutolewa na taasisi huru za kimataifa kwa vigezo 23 (usalama wa wananchi, migogoro, na nguvu za kijeshi).

2. Usalama wa Watalii.
Mwaka 2025, Tanzania iliorodheshwa kama miongoni mwa nchi 8 salama zaidi barani Afrika.
Hii imeimarisha sekta ya utalii na uwekezaji.
Uongozi wa Kikanda (SADC)

Julai 2025, Tanzania iliandaa Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC jijini Dar es Salaam.

Rais Samia Suluhu Hassan alichaguliwa Mwenyekiti wa Asasi ya SADC ya Siasa, Ulinzi na Usalama mwaka 2024.

Tanzania imetekeleza zaidi ya 70% ya maamuzi ya SADC, ikionyesha dhamira ya kweli ya kuimarisha amani na mshikamano wa kikanda.

Historia ya Tanzania kama Nchi ya Amani
Tanzania imekuwa msingi wa mazungumzo ya amani:
Arusha Accords (Rwanda 1993, Burundi 2000).

Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yapo Arusha – ishara ya kuaminiwa kwa utulivu wake.

Imepokea na kulea wakimbizi kutoka nchi jirani kwa miongo mingi.

Hitimisho
Tanzania haijapewa sifa ya amani kwa “maslahi ya mataifa ya nje,” bali kwa matendo, historia, na data halisi.

🇹🇿 Ni kweli kabisa kwamba Tanzania ni ngome ya amani Afrika Mashariki na mfano wa kuigwa barani Afrika.

Ndugu zangu watanzania tusikubali kudanganyika na kuharibu amani kwa Watu Wachache wenye uchu na madaraka

#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
#samia_suluhu_hassan
#ikulu_mawasiliano
#ccmtanzania
Safi sana hakika umeeleza vizuri sana na umeeleweka kwa data na fact bila kubumba 👏👏💚💛🫡📌
 
Safi sana hakika umeeleza vizuri sana na umeeleweka kwa data na fact bila kubumba 👏👏💚💛🫡
 
Tupuuze au tufanyie uchunguzi kama ni za kweli. Hv akili unayo kweli?
 
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu lile "LIWAYA" linalifanya mifumo isomane
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu uwepo wa wanamtandao na tamaa zao za kukamata dola
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu utekaji na watu kuuwawa
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu kuuwawa kwa JPM mara baada ya kukifungua kiwanda cha Rostam kule Morogoro
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu wizi wa kura unaosababishwa n "LIWAYA" la mifumo kusomana
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu kuhusu lolote alilolisema Polepole

UMEANDIKA UJINGA WA KIWANGO CHA SGR
 
UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA.

🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu.
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa:

1. Global Peace Index 2025
Tanzania imeshika nafasi ya 73 duniani kati ya nchi 163.
Ndio nchi ya kwanza kwa amani Afrika Mashariki.

Viwango hivi hutolewa na taasisi huru za kimataifa kwa vigezo 23 (usalama wa wananchi, migogoro, na nguvu za kijeshi).

2. Usalama wa Watalii.
Mwaka 2025, Tanzania iliorodheshwa kama miongoni mwa nchi 8 salama zaidi barani Afrika.
Hii imeimarisha sekta ya utalii na uwekezaji.
Uongozi wa Kikanda (SADC)

Julai 2025, Tanzania iliandaa Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC jijini Dar es Salaam.

Rais Samia Suluhu Hassan alichaguliwa Mwenyekiti wa Asasi ya SADC ya Siasa, Ulinzi na Usalama mwaka 2024.

Tanzania imetekeleza zaidi ya 70% ya maamuzi ya SADC, ikionyesha dhamira ya kweli ya kuimarisha amani na mshikamano wa kikanda.

Historia ya Tanzania kama Nchi ya Amani
Tanzania imekuwa msingi wa mazungumzo ya amani:
Arusha Accords (Rwanda 1993, Burundi 2000).

Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yapo Arusha – ishara ya kuaminiwa kwa utulivu wake.

Imepokea na kulea wakimbizi kutoka nchi jirani kwa miongo mingi.

Hitimisho
Tanzania haijapewa sifa ya amani kwa “maslahi ya mataifa ya nje,” bali kwa matendo, historia, na data halisi.

🇹🇿 Ni kweli kabisa kwamba Tanzania ni ngome ya amani Afrika Mashariki na mfano wa kuigwa barani Afrika.

Ndugu zangu watanzania tusikubali kudanganyika na kuharibu amani kwa Watu Wachache wenye uchu na madaraka

#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamia
#samia_suluhu_hassan
#ikulu_mawasiliano
#ccmtanzania.
Haya maneno waambie familia yako.
 
Back
Top Bottom