Humphrey Polepole apuuziwe na taarifa za uongo

AMANI bila HAKI! ulishaona wapi?
 
KUna watu mnaishi kwa shida sana. Nawahurumia waliowazaa.
 
Binafsi natamani sana kumpuuza Polepole, lakini mbona hamji na hoja za maana zinazoweza kutusaidia kumpuuza?
Wewe kama mimi. Natamani wangetoa majibu yenye hoja zenye mashiko ili tumpuuze ndg polepole.

Juzi JK anasema eti ni utaratibu wa chama kwa awamu ya pili fomu kutolewa moja. Sasa awamu ya kwanza ya 'mama' ni ipi katika ushindani? Ni lini aliomba kuwa rais?

Binafsi nasema hivi, nchi hii bado haijawahi kuwa na rais mwanamke aliyepambana na kupata nafasi hiyo kihalali. Huyu wa sasa ni kwa kudra tu +kubebwa na mstaafu JK. Huo ndio ukweli. Na mimi kama mwanamke inanifedhehesha sana.

Ilitakiwa awamu hii mama apambane na wanaume + wanawake wenzake ili kuonesha uwezo wake. Na ingemjengea heshima na ujasiri kuliko ilivyo hivi sasa. Inafika hatua anawaomba TK na maafisa usafirishaji wamsaidie kuomba kura!!!
 
Hapo zamani za kale Shetani alikuwa mmoja wa Malaika huko Mbinguni. Lakini baada ya kuasi, Mungu alimtupa mbali ambako anaishi mpaka leo.

Alipotupwa aliongozana na Malaika wengine waliomuunga mkono kwenye uasi wake. Hapo akapata wafuasi wengi.mno ambao huwapa mali na.maisha mazuri alimradi tu wamtumikie siku zote za maisha yao.

Kama una akili, utaelewa. Lakini kama ni bolizozo utabaki kukodoa mimacho tu kama Sangara.
 
Hili swali hata mimi nilijiuliza na kweli nilimshangaa sana Rais Mstaafu. Nilijiuliza pengine amesahau kwamba Samia hajawahi kuchukua fomu na kuomba ridhaa ya wanaCCM kumteua awe mgombea wa urais.

 
Umejijambia usoni
 
Ama kwa hakika wewe ni Mwanamtandao, au umelipwa tsh. 7,000/=.
 
100%โœ“
 
Safi sana hakika umeeleza vizuri sana na umeeleweka kwa data na fact bila kubumba ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿซก๐Ÿ“Œ
 
Safi sana hakika umeeleza vizuri sana na umeeleweka kwa data na fact bila kubumba ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿซก
 
Tupuuze au tufanyie uchunguzi kama ni za kweli. Hv akili unayo kweli?
 
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu lile "LIWAYA" linalifanya mifumo isomane
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu uwepo wa wanamtandao na tamaa zao za kukamata dola
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu utekaji na watu kuuwawa
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu kuuwawa kwa JPM mara baada ya kukifungua kiwanda cha Rostam kule Morogoro
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu wizi wa kura unaosababishwa n "LIWAYA" la mifumo kusomana
Hakuna hoja uliyoijibu kuhusu kuhusu lolote alilolisema Polepole

UMEANDIKA UJINGA WA KIWANGO CHA SGR
 
Haya maneno waambie familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ