Humphrey Polepole ana codes

Kwa usalam wake kama akirud TZ chonde chonde asije akaita press akaongea na waandishi kuhusu aya Mambo
Akija atulie tu barua inatosha

1: majaliwa
2: mpango
3: pole pole
4: loading...!!
 
Huyu ndio polepole OG wa enzi za mabadiliko ya katiba, alipokua mwenezi alivaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Balozi ni chui kweli kweli, sasa ameuvaa uhalisia wake,
KARIBU TANZANIA
Badaye akabadili gia angani
😄

Ova
 
Natamani sana tungepata watu weledi wa kutufungulia 'codes' katika hiyo hatua aliyochukua Polepole ila wapuuzi tu ndio wametangulia kujadili hapo juu! Naitamani sana ile Jamiiforums ya kabla ya 2015! Tulikua na watu humu bwana!
Kabisa,wametangulia wajinga kuongea ushubwada na wenye Akili wakiona uzi Umeanza na ujinga huwa hawatii mguu...watu muwe mnatulia kwanza zikiletwa mada nyeti unawahi kucomment ili iweje,mbona Comment zenyewe za kijinga mnatoa?
 
Muulize Mbowe anajua.
 
anaweza pia kuwa amesoma alama za nyakati kwamba nebukadreza a.k.a Yezebel anguko lake lipo karibu aidha kwa wafuasi wake au Mungu mwenyewe atashuka kusaidia.
 
Nani mwingine tumsubirie? , maana huenda huyu si wa mwisho. Ni kete zinasukumwa.
 
JPM.End...!? Leo ilikuwa siku ya ibada sitaki kutenda dhambi baada ya kusali sala ya nakuungamia Mungu mwenyezi
 
Wakati mko bize na Mh. Balozi Polepole mjue sie CCM tupo bize na mchakato wa Uchaguzi Mkuu! Tusijelaumiane huko mbele!!
 
Muda si mrefu kakurua bashiru ali nae analiansha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…