Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

Tanzania hatuna ukanda wala ukabila, sasa yeye ni miongoni mwa wanaofaa kuhoji uraia wake. Tuhakikishe kama alizonazo ni tabia za kitanzania
Dawa yake ni kumwambia ahesabu moja mpaka tano tutamjua tu uraia wake
 
2025 karibu sana akagombee uraisi na moja ya ahadi zake iwe kuwaacha wamachinga wajitanue watakavyo
 
Swali la msingi kukaa pembeni ya barabara na kufanya biashara ni kosa au sio kosa?
Watu wenye nyumba pembezoni mwa barabara wamevunjiwa nyumba, kuna wananchi wamechomewa nyumba kwa kuvamia maeneo ya hifadhi.
Kuna wananchi mifugo yao imekamatwa na wamepigwa faini kwa kuchunga kwenye maeneo yasio sahihi.
Hawa hawakuwa na familia? Walipangiwa pa kwenda? Mliwatetea?
Why wamachinga wapewe haki ya kuvunja sheria?
Kwahiyo Kimara tumebomoa nyumba za watu kupisha wamachinga?
Kulikuwa na umuhimu gani kuvunja jengo la Tanesco kama leo hifadhi ya barabara ni eneo la biashara.
Tufuate utaratibu, hatuwezi kuwa watu wa holela holela tu.
Nchi hii ina watu wengi mafala sana, kila kitu siasa za hovyo.
Wamachinga ni kero na ni usumbufu sana mjini.
Barabara zimejengwa kwa gharama kubwa lakini zimegeuka maduka ya wamachinga.
Miji michafu.
Wenye kulipa kodi za nyumba na za serikali wamezibwa na wamachinga.
Watu waache siasa, wamachinga waende sehemu walizotengewa miji iwe safi.
Laa sivyo na majambazi waachwe wajiporee nao wanataka kuishi.
 
Si kuwahi kufikiria kwamba Humphrey Polepole ni "mweupe" na mwepesi kisiasa na kiongozi kiss hiki?
Hivi wewe Polepole unajua kutafsiri dhamira ya Mhe.Rais Samia kuliko wateule wake aliowaamini na kuwapa kazi?!
 
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa

2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa bold kufanya udhalimu huu, na angeusitisha
Huyu mgonjwa wa VVU kadri annavyosahau kunywa mashudu ndiyo anavyoharibikiwa kichwani.

Polepole atambue kuwa Serikali ya Rais SSH iko makini. Tatizo la machinga kufanya biashara kwenye maeneo holela lilizalishwa na wao. Samia anawatoa na kuwapeleka maeneo RASMI. HAKULUPUKI kama alivyokuwa anafanya Mwendazake
 
Tena wewe pole pole ndo mlisababisha uvunjifu wa hii sheria ya road reserve kwa kuimba haya mapambio enzi za mwenda zake cheap popularity acha ujinga. Mnavuruga nchi kwa kigezo cha kupendwa mnageuza nchi kama dampo
Leo shaka na CCM nao wamelaani.
 
Si kuwahi kufikiria kwamba Humphrey Polepole ni "mweupe" na mwepesi kisiasa na kiongozi kiss hiki?
Hivi wewe Polepole unajua kutafsiri dhamira ya Mhe.Rais Samia kuliko wateule wake aliowaamini na kuwapa kazi?!
Mkuu Leo shaka na CCM wameungana na polepole kulaani namna wamachinga wanavyoondolewa. Hapo vipi?
 
Swali la msingi kukaa pembeni ya barabara na kufanya biashara ni kosa au sio kosa?

Watu wenye nyumba pembezoni mwa barabara wamevunjiwa nyumba, kuna wananchi wamechomewa nyumba kwa kuvamia maeneo ya hifadhi.

Kuna wananchi mifugo yao imekamatwa na wamepigwa faini kwa kuchunga kwenye maeneo yasio sahihi.

Hawa hawakuwa na familia? Walipangiwa pa kwenda? Mliwatetea?

Why wamachinga wapewe haki ya kuvunja sheria?

Kwahiyo Kimara tumebomoa nyumba za watu kupisha wamachinga?

Kulikuwa na umuhimu gani kuvunja jengo la Tanesco kama leo hifadhi ya barabara ni eneo la biashara.
Tufuate utaratibu, hatuwezi kuwa watu wa holela holela tu.
Naunga mkono hoja hii
 
Wanaotaka sheria zifuatwe hii leo ndio wameingia madarakani kwa kuvunja sheria na uhayawani wa wazi!
 
Back
Top Bottom