Humphrey Polepole acha kuchezea kodi za wanyonge kulazimisha chaguzi

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Mie naamini Bw.Polepole na Falsafa yake ya kuwalazimisha madiwani na wabunge wa Upinzani KUJIUZULU na kujiunga na CCM na UCHAGUZI kufanyika upya Kwa kutumia Mabilioni ya FEDHA ambazo ni kodi za WANYONGE Wa nchi hii inasikitisha sana.

Bw.Polepole anazurura nchi nzima kushawishi wapinzani. Bw.Polepole kuna tija gani CCM inapata kwa kuwapata hao madiwani au Wabunge wakati unatuambia CCM ina wanachama milioni 12?
 
Mie naamini Bw.Polepole na Falsafa yake ya kuwalazimisha madiwani na Wabunge Wa Upinzani KUJIUZULU na kujiunga na CCM na UCHAGUZI kufanyika upya Kwa kutumia Mabilioni ya FEDHA ambazo ni kodi za WANYONGE Wa nchi hii inasikitisha sana.Bw.Polepole anazurura nchi nzima kushawishi wapinzani. Bw.Polepole kuna tija gani ccm inapata kwa kuwapata hao madiwani au Wabunge wakati unatuambia ccm ina wanachama milioni 12?
Mtu kuhama chama ndiyo democrasia yenyewe.

Polepole endelea kuwanyoa kwa chupa.
 
IMG_20180307_17862.jpg
 
Back
Top Bottom