Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,756
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
 
Dah sasa ndani ya chama dola kongwe wanachama wanaanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe baada ya kumaliza Upinzani.

Nchi imefika pabaya zaidi sasa kutoka pabaya walipowinda, kuwateka, kuwatupa maporini, kuwapoteza wapinzani na sasa hawajatosheka wanawinda damu za wanaCCM
 
Dah sasa ndani ya chama dola kongwe wanachama wanaanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe baada ya kumaliza Upinzani.

Nchi imefika pabaya zaidi sasa kutoka pabaya walipowinda, kuwateka, kuwatupa maporini, kuwapoteza wapinzani na sasa hawajatosheka wanawinda damu za wanaCCM
Hapa ndio pale wakiambiwa Mungu sii Mjomba mchumali waelewe.
 
Machawa wa Sovieti ya Stalin waliolilia kichwa cha mkosoaji Troisky, sasa kilio hicho kinarudiwa ndani ya CCM

Leon Trotsky na Joseph Stalin walikuwa viongozi wapinzani wa Chama cha Bolshevik ambao walipambana baada ya kifo cha Vladimir Lenin mnamo 1924 juu ya mustakabali wa Umoja wa Kisovieti baada ya kifo cha Vladimir Lenin.

Joseph Stalin alimzidi ujanja kisiasa na kumfukuza Leon Trotsky, ambaye wakati huo alianzisha Jumuiya ya Nne ya Kimataifa na kuwa mkosoaji mkubwa wa nadharia ya Stalin ya " Ujamaa katika nchi moja " dhidi ya dhana yake mwenyewe ya Mapinduzi kimataifa.

Hatimaye Josef Stalin hakuvumilia fikra mbadala za mwanamapinduzi swahiba mwenzie na alimuua Leon Trotsky mwaka wa 1940.

Mambo Muhimu ya Migogoro Yao ndani ya utawala wa Sovieti

Mapambano ya Nguvu:
Baada ya kifo cha Vladmir Lenin, Joseph Stalin, kama alijipachika cheo cha juu kama Katibu Mkuu wa chama, aliunganisha makundi kwa nguvu ya ndani ya chama na kuwashinda wapinzani wake, akiwemo Leon Trotsky.


Tofauti za Kiitikadi:

Ujamaa katika Nchi Moja itikadi ya Josef Stalin dhidi ya Mapinduzi ya kimataifa ya Trotsky :


Stalin alitetea kujenga ujamaa ndani ya Umoja wa Kisovieti pekee, wakati Trotsky aliamini mapinduzi yanahitajika kuenea kwa nchi zilizoendelea zaidi za kibepari ili wezesha ujamaa uwe kuishi.

Itikadi ya Ujamaa kimataifa (Internationalism) : Trotsky aliweza kushawishi umati wa kimataifa wa wasomi, tofauti kabisa na mtazamo wa Stalin wa kuangalia ndani juu ya kuimarisha ujumuishaji wa kitaifa.

Ukandamizaji wa Stalin wa Trotsky:

Trotsky alifukuzwa kutoka kwa Kamati Kuu ( Politburo) na Chama cha Kikomunisti.

  • Alifukuzwa kutoka Umoja wa Soviet mnamo 1929.
  • Stalin aliamuru kazi na picha ya Trotsky kuondolewa kwenye historia rasmi na rekodi ya utumishi wake wa umma.

  • Uhamisho na mauaji ya Trotsky:
  • Akiwa uhamishoni, Trotsky aliendelea kuandika kusambaza ukosoaji na kuwa mwiba wa sera za Stalin (Stalinism).
  • Akiwa uhamiahoni alianzisha kwa Jumuiya ya mrengo wa Nne ya Kimataifa ili kusambaza sera uKikomunisti wa Kimataifa (Communist International) .
  • Mnamo 1940, Trotsky aliuawa uhamishoni huko Mexico City nchini Mexico bara la Latin Amerika maelfu ya kilometa kutoka Russia walipotumwa wahuni maajenti wa utawala Stalin.
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Asikilizwe, maana ana jambo lake, in voice of democracy.
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Nakuhukumu wewe naye kifo kuanzia sasa. Nenda kagawe mali zako kama unazo na ujiandae kufa kifo cha ghafla.
 
Back
Top Bottom