Humphery: Mimi siwezi kuhama chama changu CCM

Humphery: Mimi siwezi kuhama chama changu CCM

Haka kajamaa kameutumia vyema upepo wa katiba mpya.

Ngoja tuone what will happen.
 
Nimetokea kumdharau sana Pole Pole..... Kumbe anapiga kelele lakini mwisho wa siku anarudi kulala kule kule....
 
naamini pole pole ni mmoja wa vijana wanaojielewa sana. ni mmoja wa watu wanaoamini matatizo hayakimbiwi bali ni kushindana nayo kuyashinda.

kuhama chama sio suluhisho, kama nyumba chafu na ni yako pambana kuisafisha na fanya kila juhudi ili iwe safi. mtu mpambanaji husifiwa kwa kutengeneza na sio kuhamia kwenye nyumba zilizojengwa na wengine.

sizani kama yy anataka nafasi yyte ila anasimamia misingi ya chama ambacho kiukweli ccm ukilinganisha na vyama vilivyopo ndio chama pekee kilicho na muundo mzuri na uwazi.

ccm kimejengwa kiwe chama cha wote. ila ttz kuna watu wanaharibu chama, wamekipora na nnafananisha na watu waliotupa taka kwenye jengo takatifu. sasa kwa wenye kulipenda hawalikimbii ila watapambana na wachafuzi ama kuwashawish waache vitendo vyao na kulisafisha jengo kwa pamoja au kuwafukuza na kuwatupa nje au wawafukuze walio wasafi. kwa hio pole pole labda afukuzwe kinyume chake atapambana kuleta usafi ndani ya chama
 
wenye akili wako zizi lile....!!!
wap...... Vu...!! Wako lile zizi pale mgombani.....!!
 
"kama CCM ikishindwa kufanya maamuzi ya msingu ya kushughulika na watu wenye madoa kwa kuwakata mapema, nitakuwa mtu wa kwanza kusimama kuwahamasisha wananchi waikatae ccm," Polepole
 
Hata mimi ni CCM,ila kwa ufedhuli ulioko sasa, nimeamua kufa kwanza.Siwezi kula sahani moja na mafidi,no way.
Humphrey pole pole akiri kuwa yeye ni mwanachama mtiifu wa CCM, hata kamaCCM itakuwa na mapungufu makubwa kiasi gani mimi siwezi kukihama chama changu.

Pole pole alisema maneno hayo akiwa anahojiwa na Star Tv.
 
Hata mimi ni CCM,ila kwa ufedhuli ulioko sasa, nimeamua kufa kwanza.Siwezi kula sahani moja na mafidi,no way.Utu wangu utanisuta.
Humphrey pole pole akiri kuwa yeye ni mwanachama mtiifu wa CCM, hata kamaCCM itakuwa na mapungufu makubwa kiasi gani mimi siwezi kukihama chama changu.

Pole pole alisema maneno hayo akiwa anahojiwa na Star Tv.
 
We mleta mada eleza muktadha wa kauli yake usije kupotosha watu ambao hawakuangalia huo mdahalo. Alichokisema Pole pole ni kwamba yeye hatahama ccm isipokuwa kama chama chake kitateua mgombea urais mwenye tuhuma za rushwa , atapiga kampeni wananchi wasiichague ccm. kimsingi Polele yuko tofauti sana na wana ccm kama wewe mleta uzi
 
Humphrey pole pole akiri kuwa yeye ni mwanachama mtiifu wa CCM, hata kamaCCM itakuwa na mapungufu makubwa kiasi gani mimi siwezi kukihama chama changu.

Pole pole alisema maneno hayo akiwa anahojiwa na Star Tv.

Huyu jamaa mimi namkubali kwa vikubwa
 
Hivi tatizo ni kitugani? ulikuwa ni msimamo wake mr Humphrey na maoni yake. Kuwa mwanachama wa chama fulani haina maana kuwa unakubaliana na maovu yanayo tendeka ndani yake, na kuhama chama sio ufumbuzi wa tatizo husika bali ni kushindwa siasa; Maana vyama vyote vina Possitive na Negative.
 
Pongezi kwa Mzee Mwarioba na Mzee Joseph Butiku kwa michango yao katika mdaharo ulio tangazwa leo mchana na ITV.
 
naamini pole pole ni mmoja wa vijana wanaojielewa sana. ni mmoja wa watu wanaoamini matatizo hayakimbiwi bali ni kushindana nayo kuyashinda.

kuhama chama sio suluhisho, kama nyumba chafu na ni yako pambana kuisafisha na fanya kila juhudi ili iwe safi. mtu mpambanaji husifiwa kwa kutengeneza na sio kuhamia kwenye nyumba zilizojengwa na wengine.

sizani kama yy anataka nafasi yyte ila anasimamia misingi ya chama ambacho kiukweli ccm ukilinganisha na vyama vilivyopo ndio chama pekee kilicho na muundo mzuri na uwazi.

ccm kimejengwa kiwe chama cha wote. ila ttz kuna watu wanaharibu chama, wamekipora na nnafananisha na watu waliotupa taka kwenye jengo takatifu. sasa kwa wenye kulipenda hawalikimbii ila watapambana na wachafuzi ama kuwashawish waache vitendo vyao na kulisafisha jengo kwa pamoja au kuwafukuza na kuwatupa nje au wawafukuze walio wasafi. kwa hio pole pole labda afukuzwe kinyume chake atapambana kuleta usafi ndani ya chama

Mwalimu aliulizwa swali vipi unaweza kukihama chama chako cha ccm?mwalimu akajibu ccm sio mama yangu,wala sio baba yangu
 
Ndio ni CCM lakini CCM imani sio ile maslahi ambayo hata mimi naichukia. Kama mathalani ianguke CCM hii iliyojaa wataka maslahi watakimbia na tutabakia wale CCM waungwana kuimarisha chama chetu. Hamphrey haogopi kittu ila anaongea mawazo yake hasa asilia
 
Uwezi kuchanganya maji na mafuta sehemu moja hata siku moja,vile vile huwezi kuchanganya mbuzi na chui sehemu moja, pole pole kuna nafasi flan ya madaraka amekosa tu ambayo akiipata atatulia
 
Wacha uvivu wa kutumia ubongo wako sawasawa. Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipo fikia? wataka watanzania wote wotumie hiyo hamlashauri yako mufilisi.
 
Back
Top Bottom