Humphery: Mimi siwezi kuhama chama changu CCM

Humphery: Mimi siwezi kuhama chama changu CCM

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Humphrey pole pole akiri kuwa yeye ni mwanachama mtiifu wa CCM, hata kamaCCM itakuwa na mapungufu makubwa kiasi gani mimi siwezi kukihama chama changu.

Pole pole alisema maneno hayo akiwa anahojiwa na Star Tv.
 
Huyu jamaa namkubali sana lakini kukiri kuwa hawezi kukihama chama cha mafisadi na akikiri kila siku kuwa rasimu ya katiba iliyokuwa imebeba masuala yote muhimu yaliyopendekezwa na wananchi yamenyofolewa na manyang'au hao hao CCM ni unafiki na uzandiki.

Uzuri siyo MNAFIKI aliyasema haya siku nyingi kwamba yeye ni MwanaCCM kindakindaki,lakini hapendezwi na yanayotokea.Ninapenda ukweli wake haufichi.

Ila kuna siku atashindwa kuvumilia atatoka maana kwa sasa hata CCM wenyewe hawampendi sababu anawapa za uso.
 
Hizi ni kauli za kutafutia Ubunge na hivi karibuni tunaweza kusikia kavuta fomu kugombe Ubunge.
 
Kila mtanzania ni ccm kwa asili

Huyu jamaa namkubali sana lakini kukiri kuwa hawezi kukihama chama cha mafisadi na akikiri kila siku kuwa rasimu ya katiba iliyokuwa imebeba masuala yote muhimu yaliyopendekezwa na wananchi yamenyofolewa na manyang'au hao hao CCM ni unafiki na uzandiki.

Teh Teh Habari hizi si njema kwa UKAWA!
 
pole pole anatafuta kivuli cha kumlinda anajua akijitangaza kuwa yeye ni ukawa atang'olewa meno na kucha kwahiyo naombeni mumuelewe Polepole hawezi kuwa sehemu ya mizimu
 
nipe ushaidi wa kisanyasi au wakimaumbile kuwa kila mtanzania kiasili ni ccm? @ kaisari
 
Umenunu lini tv wewe..au huko mwakaleli tv hazishiki..polepole ni CCM toka zamani..toroka uje mjini
 
* Honestly, who z ths guy ??
* His CV ??

Namsikia sikia tu.
 
Polepole ni mchambuzi mzuri sana wa sayansi ya siasa.
 
Kwa hiyo inatuhusu nini Sisi kuhama au kutohama .??
Si haki yake?? Au a
.ewekewa maneno mdomoni ?
 
KWa jinsi ninavyo mtazama Polepole ni ccm wa ukweli kama walivyo kina Warioba but nina mashaka sana kama na yeye atapigia kura mgombea yoyote from chama cha kijani, narudia, NINA MASHAKA SANA!
 
Huyu jamaa namkubali sana lakini kukiri kuwa hawezi kukihama chama cha mafisadi na akikiri kila siku kuwa rasimu ya katiba iliyokuwa imebeba masuala yote muhimu yaliyopendekezwa na wananchi yamenyofolewa na manyang'au hao hao CCM ni unafiki na uzandiki.

watu washagundua ccm itatoboa tena,unatarajia nini?....
kila mtu anapenda kuwa upande unaoshinda...
 
wooote wezi tu...mafisadi tu hawa nani sijui nani wooote ni wezi tu...hapa ukombozi ni ngoma tu.
 
Back
Top Bottom