"HUMAN ZOOs" biashara ya fedheha kwa waafrika

Inasikitisha sana na mpaka leo kwenye nchi zao kuna ubaguzi wa kimya kimya unaendelea.
 
Ukweli mchungu hadi sasa wanatufanya watumwa nasi tunafurahia na kujiona mashujaa eti twasema ukweli ili jumui za kimataifa zitambue udhaifu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…