human VS computer

hyle azniw

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
205
195
kadiri miaka inavyo ongezeka tunaona maendeleo ya teknolojia yanavozidi kukua :angry: na jinsi gani binadamu wanavyo jarbu kutengeneza vitu vyenye uwezo zaidi yao .so kwa mawazo yako kati ya computer na brain of human naninmakali .....
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,136
2,000
.
.
The Most Dangerous of the future world,
.
is not only just the COMPUTER will biggin to think like a MAN, but,
.
a MAN will Biggin to think like a COMPUTER

.
.
 

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,502
2,000
kuna movie moja jina nimelisahau niliwahi kuitazama siku za nyuma..inaonyesha some bizarre robotic machines zimeji organize kuunda umoja wao wenye nguvu and go against human orders.binadam ndio aliye ziunda.vita inakuwa kali sana cos ilifika time machine walikaribia kushinda ili waiteke na kuitawala dunia badala ya bidamu.but mwisho wa siku sterlingi wa movie ni sterlingi tu na hafi.binadam akashinda.now back to ur topic,the human brain will always win & take the fist position by controlling/commanding computers.but we as human need to be warned,hala hala isije siku computer ikatuchenjia yakatokea kama niliyo yaona ktk ile movie.ni maono tu.u
 

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
477
250
hii mada ilishaongelewa humu ndani, anyway, generally speaking binadamu ndo ana uwezo wa kifikiri na kuviunda vitu vyote tuvionavyo leo. Computer imewekwa kumsaidia binadamu kukabiliana na mapungufu aliyo nayo.
ili weze kulinganisha hivyo viwili inabid uongelee katika vipengele vifuatavyo:
1.reasoning ability(uwezo wa kufikiri)
2.processing power or speed(uwezo wa kuchakata)
3.memory(ewezo wa kuhifadhi kumbukumbu).

1.logic zote au uwezo wa kufikiri kwenye computer umewekwa na binadamu. mfano traffic lights zinaongoza magari kwakuwa zimewekewa intelligence fulani. Endapo itatokea ajali taa hizi hazina uwezo wa kuamua nini cha kufanya ili kutatua tatizo. Kwa hiyo ukiongelea kufikiri brain inatisha mzee.
2.Tukija upande wa processing and speed, computer imeongezewa uwezo mkubwa wa kuchakata habari mfano, 2ghz maana yaka instructions bilioni mbili kwa sekunde,. vile vile zipo zenye uwezo zaidi ya hiyo.
e
3.Memory,ubongo pia unahifadhi vitu vingi sana tatizo liko kwenye namna ya kukumbuka. ndio maana ukipata kitu chochote cha kukukumbusha eg picha, mchoro nk, ubongo unaweza kukumbuka,. Tukilinganisha hapo computer memory ni kubwa sana na ina uwezo mkubwa sana wa kuhifadhi vitu vingi kwa wakati mmoja,. hapa brain haioni ndani.
 

traceman

Senior Member
Dec 28, 2013
148
0
The raising of the Terminator....real life..story. hiyo story sasa atakayo simulia itakuwa robot anamsumulia robot kwani binadamu atakuwa hakuna kabisa..

Sent from my SM-N900 using Tapatalk
 

Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,363
2,000
man was made... so he can make things inferior to himself. Creator of man can only make another thing like man or even more than man. so your question is stupid one. why? because computer will never come close to human being and will always depend on human mind. period! All others are useless fantasy :A S-alert1:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom