Human microchips analysis

View attachment 313069bishana na maandishi basi

Implementation of nano technology ni kitu cha kawaida kuna hadi dawa as of right now zina chip zinaweza kuwa tracked tumboni na jinsi zinavyo fanya Kazi mwilini. Ambacho sikubaliani ni kuhusisha hii technology na conspiracies za Freemasons,(nwo)
 
Hii chip aliwekwa nayo mzee wa elimu mara tatu ndio maana kwenye campaign shughuli ilimshinda.

Implementation of nano technology ni kitu cha kawaida kuna hadi dawa as of right now zina chip zinaweza kuwa tracked tumboni na jinsi zinavyo fanya Kazi mwilini. Ambacho sikubaliani ni kuhusisha hii technology na conspiracies za Freemasons,(nwo)

Msimamo wako wa kutokubaliana na conspiracy fulani hakuondoi ukweli wa existence wa hizo theory... Kimsingi una point lakini kuna ukweli mkubwa zaidi kwenye ishu nzima ya human microchips
 
ukibisha kuwekewa na ukizingatia wana umiliki mkubwa....itakuwa hupandi ndege/treni zao,hupati huduma za hosp,hotel,shule,benki,madukani,N.K.
Afu tuone mtaishi vipi ikizingatia serikali yako ndio nayo itakuwa wakala mkuu
 
Kaangalie agent x ndo utajua dunia ilipo na inaelekea wap

Huwa siangalii movies sina huo muda, however, nimeshajibu ila nitarudia. Implementation of nano technology ni kitu cha kawaida kuna hadi dawa as of right now zina chip zinaweza kuwa tracked tumboni na jinsi zinavyo fanya Kazi mwilini. Ambacho sikubaliani ni kuhusisha hii technology na conspiracies za Freemasons,(nwo)
 
Hii ni faida kwa kweli kubeba ATM card ni mzigo
 
ukibisha kuwekewa na ukizingatia wana umiliki mkubwa....itakuwa hupandi ndege/treni zao,hupati huduma za hosp,hotel,shule,benki,madukani,N.K.
Afu tuone mtaishi vipi ikizingatia serikali yako ndio nayo itakuwa wakala mkuu

nakunywa zangu sumu vizuri wasinipelekeshe pelekeshe!!
 
kuokoka ndo mpango mzima.wewe UNA's had a did "kupunguza idadi ya watu ili kutengeneza NWO jehanam inakuhusu
Mama esta hata mlokole hakwepi hii microchip nakumbuka 2012 niliwahi kuambiwa na mtu wa BOT kuwa wanampango wa kila mtu mwenye account kuwa na hii microchip kwenye paji la uso au mkononi badala ya ATM card.huko tuendako nasikia kutakuwa na supermarket basi mfano ukitaka kununua kitu hawapokei cash ni kwa mfumo huu wa kupitia microchips kwa hiyo ili upate Huduma itakubidi tu.na mahospitalini hvyo hvyo na kwenye usafiri pia.alafu ukumbuke kuwa kama ni mfanyakazi mshahara wako utaingiziwa kwenye bank na lazima utautoa kupitia microchip... Kwa hiyo mama esta ili upate huduma lazima uwe na microchip aka nembo ya yule mnyama mwenye tarakimu 666 ufunuo 13:13
 
Badooooo!!!.... Sanaaaaa!!....
 
Mhh hadi mwananchi wa kule namtumbo au hemshitu awekewe hii chip itakuwa sio Leo au kesho. Nadhani by then tutakuwa mbinguni tukaifaidi na malaika
 
Mhh hadi mwananchi wa kule namtumbo au hemshitu awekewe hii chip itakuwa sio Leo au kesho. Nadhani by then tutakuwa mbinguni tukaifaidi na malaika

Mbona ni kama tu kadi ya Mpiga kura au ATM au simu si kila mmoja anaweza kuwa nayo
 
Mkuu!ina maana hata zile sera za wa waziri mkuu wa uingereza na obama kufanya midume mibwabwa sasa itakua rahisi kutekelezeka?
 
Hii microchip pia inamadhumuni ya kuwatambua wale wote watakao pinga na kwenda kinyume na mpango wa new world order ,pia kumbuka kwenye dhiki kuu ndipo mnyama 666 atakapo jidhihirisha wazi wazi sasa kipindi cha dhiki kuu kinaanza taratibu badae kikishika atamu ndo tutaona makali kwa hii system ya microchip hata hijifiche chini ya andaki watakujua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…