Human homo nature

Nimejaribu kusoma sijaelewa.

Hivi hizi habari huwa mnazipata wapi ? Na mnahakikishake kuhusu ukweli wa habari hizi ?
 
Hizi habari tunapata kwenye vitabu

Na ushahidi unaofanana na ule mnaotumia kuamini kuwa Mungu wenu Yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie vitabu ulivyosoma hizi habari.

Usilinganishe elimu na wasi wasi.

Nasubiri jina la vitabu,mwaka na waandishi wa hivyo vitabu.

Nipo ....
 
Wewe Mungu wako kaumbwa na Nani....?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mola wangu hana sifa ya kuumbwa,yeye ndio ameumba.

Sasa nataka uongee au kuandika kielimu,hizo habari za Anunak zimeanza kusikika lini na ni nani wa mwanzo kuwaelezea hao Anunak ? Je wamejielezea wemyewe au wameelezewa na wasio kuwa wao ?

Nipo ....
 
Nitajie vitabu ulivyosoma hizi habari.

Usilinganishe elimu na wasi wasi.

Nasubiri jina la vitabu,mwaka na waandishi wa hivyo vitabu.

Nipo ....
Kwani lazima habari hizi ziwe zimeandikwa kwenye vitabu kwanini usifikirie nje ya hapo?

Sent using unknown device
 
Mola wangu hana sifa ya kuumbwa,yeye ndio ameumba.

Sasa nataka uongee au kuandika kielimu,hizo habari za Anunak zimeanza kusikika lini na ni nani wa mwanzo kuwaelezea hao Anunak ? Je wamejielezea wemyewe au wameelezewa na wasio kuwa wao ?

Nipo ....
Ikiwa kama nao annunak hawana sifa ya kuumbwa utasemaje?

Sent using unknown device
 
Kwani lazima habari hizi ziwe zimeandikwa kwenye vitabu kwanini usifikirie nje ya hapo?

Sent using unknown device

Hakuna kufikiria nje ya hapo katika hili. Hizi ni habari za kale,huwezi kusema umesimuliwa kwa mtiririko mpaka kukufikia wewe bila kuwekwa kwenye maandishi.

Namsubiri nilie muuliza hili swali,huenda ameelewa swali na kulitafakari.

Kwani hayo maandishi ukiletewa utatumia vipimo gani kuyagundua kama ni kweli?

Sent using unknown device
 
Haiwezekani wakawa wameepukana na sifa ya kutokuumbwa sababu wao ni viumbe.

Elimu ilishaandikwa,hapa nasubiri habari zao kwa mtoa mada au mwenye kuwajua.

Nipo ....
Kuna kitu ambacho sio kiumbe?

Sent using unknown device
 
Viko vingi sana ambavyo sio viumbe.

Gari,kiatu,mpira,nguo,taa,mkasi na vinginevyo.

Nipo ....
Mbona hivyo vyote ni viumbe

Sikia kuna makundi mawili ya viumbe
1. Viumbe hai
2. Viumbe visivyo hai

Sasa hayo magari na vinginevyo ulivyovitaja vinaingia hapo kwenye kundi namba mbili

Sasa je mungu wako yuko kundi lipi kati ya hayo mawili?

Sent using unknown device
 
Naona unaleta maana dhaifu ya kisayansi hasa biology.

Hapa kabla sijafika mbali. Hivi ukimuuliza mtu wa sayansi ya viumbe. Tofali ataliweka katika kundi gani ?

Hakuna kiumbe ambacho si hai na huu ndio usahihi.

Lakini ajabu mgawanyo wako hata lugha inaukataa. Hivi kuna lugha yoyote inayotambua magari,kiatu na mfano wake kama kiumbe ?

Nipo ....
 
Hakuna kufikiria nje ya hapo katika hili. Hizi ni habari za kale,huwezi kusema umesimuliwa kwa mtiririko mpaka kukufikia wewe bila kuwekwa kwenye maandishi.

Namsubiri nilie muuliza hili swali,huenda ameelewa swali na kulitafakari.

Nipo ....

Mwenyewe umenena vema kuwa ni habari za kale

Sasa kitu kishakuwa Cha kale tena unaniuliza jina la kitabu na muandishi wake_kweli...! Tena na tarehe Kama nilikuwepo vile..!

Hivi unauliza maswali yako kielimu kweli..! Au unanikomoa..!Hivi huko zamani kulikuwa na na utaratibu wa copyright za waandishi...!?

Swali la kizushi Je wewe unaijua tarehe rasmi ya uzinduzi wa kitabu chako kitakatifu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…