hulu videos

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
wadau habari tena, kuna hii site inaitwa hulu iko usa i guess, coz sio rahisi kuangalia video kama hauko u.s... sasa wadau kama kuna mtu ana proxy zetu zile zinazoruhusu kuwatch video za hulu itakuwa poa sana. maana proxy nyingi zinakubali youtube only. nb: izo proxy ziwe za u.s.... ahsanteni
 
Hulu ni moja kati ya site zenye best series,latest movie trailers,movies na a lot of entertainment. Hii site inataka java iwe enabled, na nyingi kati ya zile proxies hazi-support java.
HULU VIDEO.jpg

Hii ni moja kati ya vingi vipatikanavyo at their website, Watch TV. Watch Movies. | Online | Free | Hulu
 
download open vpn then sign up kwamba upo usa hata hivyo utapewa only mb100 kama free user hapa mchezo unaochezeka ni simple video ikianza tu copy link ya kwenye idm then ingia kwenye maproxy then download them
 
wadau habari tena, kuna hii site inaitwa hulu iko usa i guess, coz sio rahisi kuangalia video kama hauko u.s... Sasa wadau kama kuna mtu ana proxy zetu zile zinazoruhusu kuwatch video za hulu itakuwa poa sana. Maana proxy nyingi zinakubali youtube only. Nb: Izo proxy ziwe za u.s.... Ahsanteni

mwana jaribu hii 37.157.193.137
 
nadhani wameiblock hii ip coz haikubali, lakini proxy zingine zinafanya kazi kama kawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom