Huli pilau mpaka sikukuu

Huli pilau mpaka sikukuu

Kama ndo umefika, kazana na altenative tu "Papuchu" mpaka atakapokupa,hope Yesu atakuwa amesharudi muda huo.
 
Lazima utakuwa mvulana... Sasa unataka kupewa kwani ni ya familia yako... Mwanamke haombwi papuchi ila mapenzi a.k.a mahabati yanaleta papuchi..... Sijui nifungue chuo cha kuwafundisha mapenzi maana mnanitia aibu kila uchwapo. Mwanamke hana hiana na papuchi yake kama utamwonyesha kweli ni mwanamme mwenye uwezo wa kumweka huru na kumfanya afurahie kuzaliwa mwanamke.... Sasa kama unaingia kwa gia ya watani zangu wa Mara lazima ulalamike na kutumia hela hadi ufe masikini. Jikusanyeni niwape elimu bura mnaniaibisha baba/babu yenu.

hahaha. braza mimi sio mvulana,nimejaribu kila njia mpaka nimecheki movie za kihindi
 
Pole sana! Naona umekariri!!! Sasa kwa taarifa yako hakuna wanaume wanaojua mahaba kama sisi wa mara
 
tehe tehe teheeeeeeeee.......MVUTA KAMBA................ Ila kweli mnayajua sema ndio mkutane wenyewe kwa wenyewe
 
hahaha. braza mimi sio mvulana,nimejaribu kila njia mpaka nimecheki movie za kihindi
Ukishaweka movie tuu mapenzi ni magumu kuliko Hesabu..... Yaani mapenzi ni uhalisia wako sasa ukianza kuigiza mbona utasota sana mkuu... Mwanamke anapenda kuwa na mwanamme mwenye utofauti yaani unique sasa ukianza ya movie si ndio unapoteza vigezo????????
 
Endelea na mechi za pre-season kabla ligi haijaanza rasmi.
 
nimempendezesha tangu alipotoka sitimbi

people should not give you sex just because you have been nice to them. if you are not that nice don't pretend expecting to get something in return. Nampongeza, aendelee kukunyima hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom