Hukumu za ubunge Ubungo na Segerea; utabiri huu hapa

kwenye mikondo ya sheria huwa hakuna kutabiri...anything can happen...kwa hiyo usiwapumbaze wasomaji..... kwanini usisubiri mateo si ni hivi karibuni?

Acha ubwege wewe na ufinyu wa mawazo yakutokujua maana ya KUTABIRI toa mawazo na si kuediti na kukosao watu.
 
Wana JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA aliponzwa na MKURUGENZI akatoa laptop zake ila MAKONGORO alijitakia.So CDM jipangeni yote myanyakue na hata la kule RUKWA. Nawasilisha kwa kumwombea mnyika kila la heri kwani UTENDAJI wake ni mzuri sana ila ajifunze asitegwe tena wakati mwingine.Nasikitika pia pesa za wtz zitatumika kurudia chaguzi hizi huku wafanyakazi wanalalama mishahara na ugumu wa maisha.Mungu ibariki Tz.
Mkuu, post ya kwanza tu unaanza na umbeya jamani!
 
lets wait and see if they can prove beyond reasonable doubt
kupeleka laptop sio hoja hoja ni kuwa je wkt wa majumuisho wahusika hawakuwepo?
kama hawakuwepo nani aljumlisha? msimamizi alitangazaje bila kuhusisha CCM?
doubts kibao,its hard kuprove hoja za CCM hapa
lazima kuna mashaka mengi sana,Mnyika will stay.
For Mahanga kwa kweli hapo sina la kusema wacha tuone kesho.
 
Wana JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA aliponzwa na MKURUGENZI akatoa laptop zake ila MAKONGORO alijitakia.So CDM jipangeni yote myanyakue na hata la kule RUKWA. Nawasilisha kwa kumwombea mnyika kila la heri kwani UTENDAJI wake ni mzuri sana ila ajifunze asitegwe tena wakati mwingine.Nasikitika pia pesa za wtz zitatumika kurudia chaguzi hizi huku wafanyakazi wanalalama mishahara na ugumu wa maisha.Mungu ibariki Tz.

Yaani post yako ya kwanza ni utabiri!!!! Karibu JF lakini tunaomba utufahamishe tukupate wapi ili ututabirie na mengine usiishie kwenye utabiri wa kesi tu!!!!

Tiba
 
Mpiga ramli kavamia jukwaa... sas kazi ya judge ni nini kama we ushahitimisha.
 
hili la laptop mbona kila chama kiliruhusiwa kutumia laptop yao maana ilikuwa ni katika kuhaki na siyo kama ilivyo kuwa kwenye madai kuwa mnyika aliingi na laptop 5 eti akiwa amezibeba...
 
Eee MUNGU tusaidie Mnyika ashinde, jembe letu moja limetutoka asije kuwa Na huyu.
 
nyie watabiri siwaamini kabisa ....mkuu wenu wa utabiri alisema atakayempinga Jakaya 2010 atakufa mm sikumpa kura mkwe.re na niko hai mpaka leo....mlituambia hapa jamvini kuwa LEMA hawezi kupigwa chini..nyie nyie mkasema kuwa Tundu Lissu atapigwa chini kama Lema..sasa Mmekuja na tabiri nyingine......Tabirini hali ya hewa sio siasa!!!!
 
Kwenye mkondo wa sheria huwa hakuna kutabiri ( hata kama una nyota ya kutabiri kumzidi Sheh Yahya)...anything can happen...kwa hiyo usiwapumbaze wasomaji..... kwanini usisubiri matokeo si ni hivi karibuni?

Ungekua mfatiliaji mzuri ungejua hayo mambo yapo manake kesi karibu zote kubwa zilizopita zilitabiriwa na ikatokea hivyo... Hii inatokana na kuvuja kwa hukumu kabla ya siku husika!!
 
Back
Top Bottom