Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

kuna muda aliboronga mabo akaondolewa ujaji kiongozi naanza kupata wasi wasi na credibility yake na pengine judgement yake leo
 
Massati is very serious, lazima afuate sheria, jamaa hana upendeleo hata kidogo!, lazima ajenge na alinde hishma yake.
Mpaka muda huu watuhumiwa 7 nasikia washaachiwa... Ngoja niongee na mwandishi wetu kisha narejea
 
Massati is very serious, lazima afuate sheria, jamaa hana upendeleo hata kidogo!, lazima ajenge na alinde hishma yake.

Kesi hii haina element za ufisadi -- kwa hiyo mapesa ya EPA hayawezi kuvuruga hukumu.
 
Mpaka muda huu watuhumiwa 7 nasikia washaachiwa... Ngoja niongee na mwandishi wetu kisha narejea

Mkuu Invi.. ni akina nani hao? lete more update. Mi naomba tu mnibakishie Zombe asitoke jamani...
 
Nasikia mahakamani kuna Spika kubwa watu wanasikiliza...ila toka nipate updates za mwisho za judge kumaliza marejeo ya ushahidi...sijui ni nini kinaendelea
 
Mpaka muda huu watuhumiwa 7 nasikia washaachiwa... Ngoja niongee na mwandishi wetu kisha narejea
mbona zombe nae atakula ubwabwa nyumbani leo?kwa tz aah inawezekana sana tuu.atatoka mtachonga sana ndani ya hrs tutasahau zitafuata habari za NEC Dodoma ndo zitashika hatamu,haya hii ndo tz
 
Mkuu..twaomba majina pliiiz...sisi wa kwenye ma ofisi huku masaki tunashauku ya kujua...
 
Mpaka muda huu watuhumiwa 7 nasikia washaachiwa... Ngoja niongee na mwandishi wetu kisha narejea

aseee, duh!.
steringi Zombe mwenyewe bado!, isije kua ni sinema ya kihindi.
 
Sasa haya mambo mengine kabisa 7 huru ? ukweli au kijeli sasa kama ni huru basi na kubwa lao litakuwa huru, jamani acheni masihara wenzenu wengine saa hizi tunapumua kama funza tunahema kama kupe hembu tupeni taarifa za uhakika tupumue vizuri au mambo ndio bado sasa bado kivipi tena?
 
Duh wanaona wanajamvi mko mkao wa kula.
 
Presha iko juu ile mbaya!
 
kwa mujibu wa ripota wangu ni kamba wanaendelea kuisoma.amelalamika kwamba spika zao zimechoka sana,zinazizima tu.
 
Haahhaha hadi sasa bila bila....muda waenda jamanii eehh
 
tulia mkuu!,
watu wa huduma ya kwanza vp jamani?, watu watakufa hapa.
 
huyu massati anaelekea kutuduwaza leo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…