Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

I mean he can not evade capital punishment or life sentence!

Ooooh, oops,
maana presha ilipanda na kushuka ghafla.
watu wa huduma ya kwanza mko wapi jamani?
 
Jamani mahakamani tupeni updates tupost hapa ndani
 
wazee wa maadili wameamua kumwadilisha mwenzao mhhhhhhh !!!!!! haya weee sioni mbele kiza kikuuuuuu 2010 ! kuna mambo.
 
wazee wa maadili wameamua kumwadilisha mwenzao mhhhhhhh !!!!!! haya weee sioni mbele kiza kikuuuuuu 2010 ! kuna mambo.

Kinepi nepi,hiyo habari nayo inamuhusu zombe? Tunataka habari za mahakamani kwa sasa jamani.
 
zombe akikosa kunyongwaau kifungo cha maisha basi tena
 
mama yanguuu, for the first time naona posts zinafukuzana kama upepo.
 
jaji salum massati epuka laana mbele yako zombe lazima anyongwe tu au kifungo cha maisha.
 
Huyu jugde anachukua muda gani kusoma hukumu?
 
jaji salum massati epuka laana mbele yako zombe lazima anyongwe tu au kifungo cha maisha.

Massati is very serious, lazima afuate sheria, jamaa hana upendeleo hata kidogo!, lazima ajenge na alinde hishma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…