Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 986
- 211
Mkuu na wewe pia!Mpaka dakika hii hawa jamaa hawafanyi kazi wapo JF!
AmaniKatoshi, Balantanda, Bambo jr, Belo, Bint, Bongolander, Bwana, Chief, Fidel80+, Geoff, gervase malimi, Jitukali, jituparatupu, Joyceline, KAKA MKUBWA, Kenge (Eng), Kimambo, kinepi_nepi, Kite Munganga, Kitila Mkumbo, Kuntakinte, Kyachakiche, libidozy, Lunanilo, Maamuma, Mathias, Maverick, Mchukia Fisadi, Mhafidhina, Mnyonywaji, Mpingo1, msaranga, Mshangaaji, Mtabaruka, Mtana, Mtu66, MwanajamiiOne, mzundu, Ndanda to Lomwe, Next Level, Ng'azagala, Ngorunde, Nguli, Njilembera, Offish, Rabin, RealTz77, rosebella, Rugishar, Shadow, Shapu, share, Shy, Solent, Tshala, vstdar, Wa Tsavo, watu, Zion Train
Aliyekuwa kamishna msaidizi wa polisi anyongwe tu inanuma kuwaua watu bila kosa tena ndugu hafai kuishi huyo...
........Ndo maanake!lazima watu wamkomehuyu jamaa akichomoa leo waandishi watamkoma!. lazima atoe kiroja cha bangi kama kawaida yake.
........Ndo maanake!lazima watu wamkome
Hivi huyu mtu kama akiachiwa huru atarudishwa tena kazini au ndio basi tena?!Na si atakuwa anadai fidia yake ya kipindi chote cha kesi yake ilivyokuwa inaendelea?
nimlazimika kumtuma ''ripota wa akiba'',ndio anaingia kisutu sasajamani kimya kini nini kinaendelea?
nimlazimika kumtuma ''ripota wa akiba'',ndio anaingia kisutu sasa
mungu wangu!ngoja nimpigie simu!masikini ka-nzi kangumkuu ni high court kule karibu na ferry!.
Zombe kwishne!
what do u mean?Zombe kwishne!