Hakuna hukumu ya kuwapiga wazinifu mawe kwenye Quran, hili ni jambo liliongezwa na wenye msimamo mkali kupitia hadithi.
Muongozo wa Quran ni viboko 100 tu Malaria 2adriz
Unapohukum kwa kufata Sheria za dini, watu utumia aya ya Qur'an au Hadith za mtume Muhammad (s.a.w) , hakuna mtu anatumia matakwa yake kuhusu jambo la shari'a.
Dini haina (msimamo mkali) ila watu wanafata maamrisho ya aya, hadithi na sunna za mtume.
Hukumu ya kupigwa mawe.
Mtume aliwapiga mawe Maiz bin Malik na mwanamke wa Ghamidiya baada ya kukiri wao wenyewe.