Hukumu ya Mwanamke aliyeporwa mtoto, Mahakama imejiaibisha...!!


kinacho shangaza hapa ni kwa wale wanaharakati wetu kina nkya na wenzake......haya huwa hawayaoni ila wao wako kwenye mambo ya siasa zaidi...
Ni watetea matumbo wala sio haki za binaadamu
ya ulimboka ama madaktri kugoma wao ndio wapo mbele ..
Hapa mahakama na huyu hakimu lazima amekula rushwa
sasa hawa takukuru wapo wapi jmani
huyu hakimu wa kufukuzwa kazi leo leo
ni rushwa tu
sheria za nchi zipo wazi kuhusu watoto
na kama hawa ni waislam basi sheria pia zipo wazi
zote zinampa mama haki ya kumlea mtoto na baba atoe fedha za kumtunza
aibu kina nkya
aibu
hapa inaonesha wazi ngozi yenu
watetezi wa haki feki
 
kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu"ameen"
haleluuuuuuuya!
haleluyaaaaaaa!
ameeeen
jioni njema
kesho kanisani!
 
wametumia sheria za kiislam,kuamua hiyo kesi mkuu!si unajua zilivyonamagumashi
wacha uongo wewe sheria za kiislam zinaweka wazi kuhusu mahusiano ya ndoa..na inampa haki mama kumlea mtoto wake hadi miaka 10...
Hakimu amekula rushwa tu..ipo wazi
ajiuzulu
sababu yake ati kwa hati ya dharura haina nguvu ni rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…