Hukumu ya Mwanamke aliyeporwa mtoto, Mahakama imejiaibisha...!!

katika taarifa ya habari itv usiku huu, saa 2 wametangaza habari ya mwanamke mmoja aliyeporwa mtoto wake wa miezi minne na ndugu wa mume wake aliyepo nje ya nchi kwa sasa.
Uporaji wa mtoto huyo umefanywa na ndugu wa mume wa mwanamke huyo kupitia hukumu ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu kwa kile kinachodaiwa kwamba mama wa mtoto ni mgonjwa sana kiasi ambacho hawezi kumnyonyesha mwanae.
Kwa mujibu wa maelezo ya ndugu wa mke ni kwamba upande wa mume waliidanganya mahakama kwakuwa hawamtaki mke wa kijana wao.
Akihojiwa na itv hakimu huyo amekiri kutoa amri hiyo lakini akadai kwamba ombi hilo lilipelekwa kwake chini ya hati ya dharura.

My take:
Kitendo cha hakimu kuwa mwepesi kumtenganisha na mama yake, mtoto mdogo kiasi kile bila kumuita mahakamani ama kuwa na uhakika wa hali ya afya ya mama yake kinaidhalilisha mahakama na kutia shaka weledi wa mahakimu wetu.

kinacho shangaza hapa ni kwa wale wanaharakati wetu kina nkya na wenzake......haya huwa hawayaoni ila wao wako kwenye mambo ya siasa zaidi...
Ni watetea matumbo wala sio haki za binaadamu
ya ulimboka ama madaktri kugoma wao ndio wapo mbele ..
Hapa mahakama na huyu hakimu lazima amekula rushwa
sasa hawa takukuru wapo wapi jmani
huyu hakimu wa kufukuzwa kazi leo leo
ni rushwa tu
sheria za nchi zipo wazi kuhusu watoto
na kama hawa ni waislam basi sheria pia zipo wazi
zote zinampa mama haki ya kumlea mtoto na baba atoe fedha za kumtunza
aibu kina nkya
aibu
hapa inaonesha wazi ngozi yenu
watetezi wa haki feki
 
kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu"ameen"
haleluuuuuuuya!
haleluyaaaaaaa!
ameeeen
jioni njema
kesho kanisani!
 
wametumia sheria za kiislam,kuamua hiyo kesi mkuu!si unajua zilivyonamagumashi
wacha uongo wewe sheria za kiislam zinaweka wazi kuhusu mahusiano ya ndoa..na inampa haki mama kumlea mtoto wake hadi miaka 10...
Hakimu amekula rushwa tu..ipo wazi
ajiuzulu
sababu yake ati kwa hati ya dharura haina nguvu ni rushwa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom