Hukumu ya mwalimu

Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
2,280
4,730
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavo sema aidha nimefurahishwa sana na hukumu ya yule mwalimu japo wangempa kifungo cha maisha tu ingekaa sawa kabsa, halaf walimu waliokuwepo kwenye eneo la tukio wangechukuliwa hatua zakinidhamu sababu walishindwaje kuzuia mtoto kuuliwa tena kifo cha kikatili kabsa ningekua mm ningewastopisha na hatua zakinidhamu zichukuliwe, na mwalimu wakike angepewa naye miaka michache jela ni hayo tu inasikitisha sana
tapatalk_1551869802356.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu wooote Tanzania wanastahili kifungo either cha nje au jela kabisaa.

Tukianza na mwalimu Kichaa aliyekua anafundisha Chemistry

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Back
Top Bottom