Hukumu ya lema ilipikwa.

Kuna jaji aliyejitoa ktk kusikiliza kesi hii, Anaitwa nani? Kwanini alijitoa?
 
Itachukua muda mrefu sana mahakama zetu kuwa huru, hadi hapo katiba itakapo badilika. Mlalamikaji, hakutokea mahakamani, lakini kashinda kesi; hii mpya!!!!
 
Mkuu, hiki ndio kipindi cha kutumia taaluma yako kuhakikisha Lema anarudi bungeni kulalamika humu JF hakutasaidia lolote.
 
A tort, in common law jurisdictions, is a civil wrong.[SUP][1][/SUP] Tort law deals with situations where a person's behaviour has unfairly caused someone else to suffer loss or harm. A tort is not necessarily an illegal act but causes harm and therefore the law allows anyone who is harmed to recover their loss. Tort law is different from criminal law, which deals with situations where a person's actions cause harm to society in general. A claim in tort may be brought by anyone who has suffered loss.
Hii hukumu based on the 3rd party kuna haja ya hakimu kutuelimisha!Ivi Matilda si yuko Kenya kama Balozi!
 

tuna mengi ya kujadili kwenye katiba mpya mkuu!
 
Hii ndo TZ aka shamba la bibi, kila kitu kinawezekana, hata katiba mpya yaweza kuchakachuliwa!!!
 

Nimeandika humu thread kuwa nina mashaka na credibility ya majaji aliowateua JK ili kujaza nafasi kwa vile majaji ni wachache. Nimesema angalia huku wanazozitoa halafu linganisha na za majaji wa zamani, utaona kuwa kuna tatizo kubwa na hawa majaji wapya. Unaona kabisa kuwa professionalism bado kabisa. Just go and read their judgements- you can just google by their names, you will get some of the judgements. Then neda TLR linganisha!!
 
sasa wewe (in red) unatuandikia vingereza vyako kumaanisha nini!?

Mleta hoja kaandika kiswahili na wewe umesoma na kelewa sasa ni kwa nini usijibu hivyo, waweza kuwa mmoja wao

 
You know what, hakuna chombo cha kulinda na kutetea haki za raia hata kimoja ambacho kipo huru hapa nchini. Si polisi, si mahakama wote lao moja. Kulinda maslahi ya CCM. Ndiyo maana akina Mramba, Yona, Mgonja na wengineo walishitakiwa miaka mitano iliyopita lakini hadi leo kesi hazisomwi. Kuna ujinga ambao CCM inafanya ambao kama wasipokaa sawa utawagharimu wao na watoto wao. Siku uvumilivu wa watanzania utakapokoma, watakuwa wanakamatwa viongozi wa CCM pamoja na watoto wao na kuuawa mbele ya hadhara. Sidhani kama Libya walijua kwamba ipo siku Ghadafi na familia yake wangeuawa kama panya vile. Waache tu waendeleze huu uhuni wakidhani kwamba watanzania wataendelea kuwa wavumilivu milele.
 
Mkuu, hiki ndio kipindi cha kutumia taaluma yako kuhakikisha Lema anarudi bungeni kulalamika humu JF hakutasaidia lolote.

mimi si mwanasiasa na wala silipwi chochote kutetea chama humu jamvini. Nimejaribu kuweka mambo sawa. Hakika nikipata nakala ya hukumu nitawapelekea wanafunzi wangu waone vituko katika mahakama.
 
mimi sina wasiwasi manake hata kama jk akiachia ngazi saiv tuna uhakika wa kuichukua magogoni, matatizo yapo kwa magamba, chadema hata kama uchaguzi ukifanyika kesho mbona jimbo tuna retain???
 
Itachukua muda mrefu sana mahakama zetu kuwa huru, hadi hapo katiba itakapo badilika. Mlalamikaji, hakutokea mahakamani, lakini kashinda kesi; hii mpya!!!!

Hujaeleweka kabisa!!!!!! Wale watatu walikuwa akina nani?
 
Mkuu, hiki ndio kipindi cha kutumia taaluma yako kuhakikisha Lema anarudi bungeni kulalamika humu JF hakutasaidia lolote.
Ritz hakika wewe ni muungwana comment zako leo unaonesha umeguswa na hili jambo. Hongera mkuu
 

Hata mimi niliyesomea basics za business law inanishangaza. Hivi Zombe aliachiwa kwa sababu zipi kweli? Sio kwamba mtuhumiwa hakuwepo!!
 
improve your what kind of broken English is and you call yourself educated,You seem to be a biased person
 
mimi si mwanasiasa na wala silipwi chochote kutetea chama humu jamvini. Nimejaribu kuweka mambo sawa. Hakika nikipata nakala ya hukumu nitawapelekea wanafunzi wangu waone vituko katika mahakama.

Naamini kwa msimamo wako unaweza pia ukawa unawapotosha sana! Otherwise wakina na uelewa mzuri wanaweza wakapingana na wewe.
 
Hii ni mifano ya jinsi mahakama zetu zinavyofanya kazi bongo,
Ndiyo maana jaji wetu mkuu alinyimwa ulaji wa ICC nafasi ya Louis Moreno Ocampo kwani wanayaona haya kuwa hakuna
utawala wa sheria bali utawala wa rushwa.
Pia ndo maana Dr. Asha Rose Migiro kanyimwa new contract, yaani cc watamzania tunadharaulika kewli kimataifa kwa sababu ya ukandamizaji wa haki na demokrasia nchini.
Na bado tutayaona mengi.....
 
Hata mimi niliyesomea basics za business law inanishangaza. Hivi Zombe aliachiwa kwa sababu zipi kweli? Sio kwamba mtuhumiwa hakuwepo!!

Tofautisha jinai na madai. Ni vitu tofauti, uthibitisho wake una uzito tofauti.
 
CCM is not satisfied with a normal 6ft deep grave dug for them in Arumeru, they are digging deeper and deeper! Arusha will teach them a valuable lesson. To loose two bi elections in a row will be bitter for Ritz and co to swallow!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…