Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

wakigoma kupunguzwa na mahakama watapunguzwa na Mungu. chaguo ni lao
 

Afadhali walipomnyima Ubunge ili apate muda wa kufanya utafiti, maana watu wanakimbia fani walizosomea na kwenda kwenye siasa ambayo sio fani yao.
 
haijaahirishwa hii kitu??

hukumu gani inasomwa usiku!!
Umeshasahau ile ya Serikali vs chama cha walimu mbona ilisomwa saa 8 usiku? ila hukumu zote za namna hii ni lazima ziwe in the favor of government.
 
Hii ni Forum ya wasomi hebu kama mtu hanauhakika na anachoongea ni bora aache udaku
 
Du mtu asilete thread ambazo hazifanyii update especially kwa zile ambazo zinahitaji majibu
 
Afadhali walipomnyima Ubunge ili apate muda wa kufanya utafiti, maana watu wanakimbia fani walizosomea na kwenda kwenye siasa ambayo sio fani yao.

Iyo kweli kamanda...
akatafiti zaidi,ni moja ya njia ya kuisaidia jamii yake kimaendeleo pia kuiletea mabadiliko..
 
kuna umuhimu kuwe na maripota mhimu wa JF wataojulikana,wengine wanazingua
 
duh kwahiyo Mbasa si mbunge tena, hii balaa sasa, kwa hiyo tunasubiri mnyika nae avuliwe ubunge. Itakuwa CCM 1 CDM 3

Vigezo vya kumvua Mnyika havijitoshelezi kufuatia msingi wa kesi yenyewe
 
Tusilaumu sana huenda net ikawa inazingua si unajua tena coverage ya b'mulo!
 
kwan hukumu imetolewa au ni tetesi tu?punguzeni jazba vjana wa cdm.
 
Inaelekea Judge ameona wenzake (singida na Sumbawanga) wanasoma hukumu za kweli na si kwa jinsi ya maelekezo ya juu. Kama ndivyo huenda matokeo yasitenguliwe.
 
Hukumu imeanza kusomwa.........kwa mujibu wa mhabarishaji wangu ni kuwa wako ndani hukumu inaendelea kusomwa. Watu ni wengi na kuna ulinzi mkali. Naambiwa kila mtu na kambi yake wanashangilia. CCM wanashangilia na CDM wanashangilia. Sasa sijui mshindi atakuwa nani. Nawasiliana na chanzo changu hicho cha habari na nimekiomba ridhaa yake ili niwatumie namba yake ili kila mwenye kiu ya kujua ampigie moja kwa moja. Angalizo....ni mwananchi wa kawaida hajui ma english yenu kwa hiyo muulize nani kashinda au hali ya usalama ikoje. Stay tuned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…