Kesi ya madai ya kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na chadema dhidi ya madiwani waliofukuzwa na chama imesomewa hukumu leo.
Kwa mujibu wa Filipo aliyekuwepo mahakamani ni kwamba madiwani (waliofukuzwa) waliokuwepo mahakamani walikuwa watatu Ngowi, Rehema na Mpanda.
Mallah na mwenzake Bayo hawakuhudhuria Mahakamani.
Katika hukumu iliyosoma, hakimu aliamuru wale mahakimu kuanzia leo walipe milion moja kwa kila moja, hawakuruhusiwa kutoka mahakamani mpaka walipe zile milioni moja. Mahakama iliamuru pesa zote ziwe zimeshalipwa ndani ya wiki moja.
Endapo kama hawatakuwa wamelipa basi baada ya miezi miwili hakutakuwa na maamuzi mengine zaidi ya kupelekwa jela.
Madiwani walibaki pale mahakamani kila moja akipiga simu kwa ndugu zake.
stay tuned!
Judgements of the courts must measure up to the public perception of fairness. In other words, judical pronouncements must pass the test in the court of public opinion

waende wakauze walivyonavo sasa ili deni lilipwe.... watajuta kutumiwa na Magamba

Halafu watu mnakuja na mawazo mfu eti mahakama zinawaonea, mbona zikiwapa haki hamsemi ? fikra km hizo twaziita kikwetu ' Fikra msambimbwanga'.
Asante sana kwa hii post! Tumeshatoka mahakamani na wameambiwa walipe milioni moja moja kila mmoja siku ya leo na ndani ya miezi miwili wanatakiwa wawe wamekamilisha milioni 15. Tofauti na hapo watakamatwa na kupelekwa jela.
Ikimbukwe tu kwamba kesi hii ya madai ilifunguliwa mahakamani hapo na Mwanasheria wa cdm akidai fidia ya 15mil. ambazo madiwani hao walitakiwa na mahakama hiyo kukilipa chama hicho baada ya kushindwa rufaa yao ya kutimuliwa na chama!
Halafu watu mnakuja na mawazo mfu eti mahakama zinawaonea, mbona zikiwapa haki hamsemi ? fikra km hizo twaziita kikwetu ' Fikra msambimbwanga'.
Mkuu gharama za kesi ni Milioni Kumi na tano, waliambiwa leo kabla hawajaondoka mahakamani wawe wamelipa milioni moja.