Hukumu ya Kesi ya madiwani Arusha: Madiwani waambiwa walipe gharama za kesi

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Kesi ya madai ya kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na chadema dhidi ya madiwani waliofukuzwa na chama imesomewa hukumu leo.
Kwa mujibu wa Filipo aliyekuwepo mahakamani ni kwamba madiwani (waliofukuzwa) waliokuwepo mahakamani walikuwa watatu Ngowi, Rehema na Mpanda.
Mallah na mwenzake Bayo hawakuhudhuria Mahakamani.
Katika hukumu iliyosoma, hakimu aliamuru wale madiwani kuanzia leo walipe milion moja kwa kila moja, hawakuruhusiwa kutoka mahakamani mpaka walipe zile milioni moja. Mahakama iliamuru pesa zote ziwe zimeshalipwa ndani ya wiki moja.
Endapo kama hawatakuwa wamelipa basi baada ya miezi miwili hakutakuwa na maamuzi mengine zaidi ya kupelekwa jela.

Madiwani walibaki pale mahakamani kila moja akipiga simu kwa ndugu zake.

stay tuned!

Judgements of the courts must measure up to the public perception of fairness. In other words, judical pronouncements must pass the test in the court of public opinion
 
waende wakauze walivyonavo sasa ili deni lilipwe.... watajuta kutumiwa na Magamba
 
Walipe tu si walijifanya wajuaji! Au wangepigwa jela tu walidhani Chadema ni magamba.walisahau ukiwa CDM kubali nyeusi iwe nyeusi,nyeupe iwe nyeupe yaani hakuna ufagio.
 
Kesi ya madai ya kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na chadema dhidi ya madiwani waliofukuzwa na chama imesomewa hukumu leo.
Kwa mujibu wa Filipo aliyekuwepo mahakamani ni kwamba madiwani (waliofukuzwa) waliokuwepo mahakamani walikuwa watatu Ngowi, Rehema na Mpanda.
Mallah na mwenzake Bayo hawakuhudhuria Mahakamani.
Katika hukumu iliyosoma, hakimu aliamuru wale mahakimu kuanzia leo walipe milion moja kwa kila moja, hawakuruhusiwa kutoka mahakamani mpaka walipe zile milioni moja. Mahakama iliamuru pesa zote ziwe zimeshalipwa ndani ya wiki moja.
Endapo kama hawatakuwa wamelipa basi baada ya miezi miwili hakutakuwa na maamuzi mengine zaidi ya kupelekwa jela.

Madiwani walibaki pale mahakamani kila moja akipiga simu kwa ndugu zake.

stay tuned!

Judgements of the courts must measure up to the public perception of fairness. In other words, judical pronouncements must pass the test in the court of public opinion

Asante sana kwa hii post! Tumeshatoka mahakamani na wameambiwa walipe milioni moja moja kila mmoja siku ya leo na ndani ya miezi miwili wanatakiwa wawe wamekamilisha milioni 15. Tofauti na hapo watakamatwa na kupelekwa jela.
Ikimbukwe tu kwamba kesi hii ya madai ilifunguliwa mahakamani hapo na Mwanasheria wa cdm akidai fidia ya 15mil. ambazo madiwani hao walitakiwa na mahakama hiyo kukilipa chama hicho baada ya kushindwa rufaa yao ya kutimuliwa na chama!
 
Halafu watu mnakuja na mawazo mfu eti mahakama zinawaonea, mbona zikiwapa haki hamsemi ? fikra km hizo twaziita kikwetu ' Fikra msambimbwanga'.
 
Mhhh haya bana Mungi asante sana kwa taarifa
Sasa wakitoka hapo wakajirudi upya wajue walikosea wapi
 
Last edited by a moderator:
waende wakauze walivyonavo sasa ili deni lilipwe.... watajuta kutumiwa na Magamba

Namwonea huruma mdada Rehema Mohamedi, manake hata zile pikipiki alizonunua kwa hela za kuhongwa wakati ule zishachoka, labda akaziuze kwa laki tano dah!
Otherwise apitie kwa wakware wamfanyie harambe pale shivazi
 
waende wakauze walivyonavo sasa ili deni lilipwe.... watajuta kutumiwa na Magamba

Aliyekuwa diwani wa kata ya Themi ameamua kwamba kuanzia sasa siasa basi tena! Alikuwa anahojiwa baada ya hukumu akasema anawasiliana na ndugu na jamaa wafamilia wamsaidie na hafikirii tena siasa!
 
Asante sana kwa hii post! Tumeshatoka mahakamani na wameambiwa walipe milioni moja moja kila mmoja siku ya leo na ndani ya miezi miwili wanatakiwa wawe wamekamilisha milioni 15. Tofauti na hapo watakamatwa na kupelekwa jela.
Ikimbukwe tu kwamba kesi hii ya madai ilifunguliwa mahakamani hapo na Mwanasheria wa cdm akidai fidia ya 15mil. ambazo madiwani hao walitakiwa na mahakama hiyo kukilipa chama hicho baada ya kushindwa rufaa yao ya kutimuliwa na chama!

Mkuu. Ni milioni 15 au 5? Hebu weka kumbukumbu sawasawa maana ulikuwepo mahakamani.
 
Halafu watu mnakuja na mawazo mfu eti mahakama zinawaonea, mbona zikiwapa haki hamsemi ? fikra km hizo twaziita kikwetu ' Fikra msambimbwanga'.

Mkuu umepotea sana bana.
BTW ni hivi................... mahakama kutenda haki inategemea ni haki ipi na kwa nani.
 
saa ya uchaguzi mdogo ni sasa vyama vijipime tuone nani kidume hasa huku kaskazini
 
Mkuu gharama za kesi ni Milioni Kumi na tano, waliambiwa leo kabla hawajaondoka mahakamani wawe wamelipa milioni moja.

ni milioni moja kila mmoja wa waliokuwepo mahakamani. Wale waliokuwa na udhuru, mwisho kesho kutoa hiyo milioni moja moja. Na ndani ya miezi miwili wawe wamekamilisha deni lote!
 
Kazi nzuri inayofanywa na Tundu Lisu sasa inaanza kuzaa matunda. Nnauye Jr na william. J. Malecela hebu wasaidieni hawa mamluki wenu kulipa hili deni waepukane na kwenda jela.
 
Last edited by a moderator:
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom