Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Kesi ya madai ya kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na chadema dhidi ya madiwani waliofukuzwa na chama imesomewa hukumu leo.
Kwa mujibu wa Filipo aliyekuwepo mahakamani ni kwamba madiwani (waliofukuzwa) waliokuwepo mahakamani walikuwa watatu Ngowi, Rehema na Mpanda.
Mallah na mwenzake Bayo hawakuhudhuria Mahakamani.
Katika hukumu iliyosoma, hakimu aliamuru wale madiwani kuanzia leo walipe milion moja kwa kila moja, hawakuruhusiwa kutoka mahakamani mpaka walipe zile milioni moja. Mahakama iliamuru pesa zote ziwe zimeshalipwa ndani ya wiki moja.
Endapo kama hawatakuwa wamelipa basi baada ya miezi miwili hakutakuwa na maamuzi mengine zaidi ya kupelekwa jela.
Madiwani walibaki pale mahakamani kila moja akipiga simu kwa ndugu zake.
stay tuned!
Judgements of the courts must measure up to the public perception of fairness. In other words, judical pronouncements must pass the test in the court of public opinion