Chagua kukosa 11,000/= taslimu
Haya mambo ni ya kitaalam sana mkuuMimi nimeona tu mtu kaandikiwa "you are HIV positive..."
Hapa mdau anasema ni M/V...
Mkuu naona unainyatia hela ya supu.Hahahaaahaaaaa. ukiutoa huo mkono namalizia. panapoonekana sana ni hapa tu...
alleged he sustained
1) Fracture of the right tibia leg bone
2) Dislocation of hip encountered at the
Toeni mkono huo kwenye karatasi nitiririke, kuna 11000 naiona
Nishampigia mama muuza aniwekee special yangu -supu ya mainiMkuu naona unainyatia hela ya supu.
Thanks... Twende kaziHahahaaahaaaaa. ukiutoa huo mkono namalizia. panapoonekana sana ni hapa tu...
alleged he sustained
1) Fracture of the right tibia leg bone
2) Dislocation of hip encountered at the
Toeni mkono huo kwenye karatasi nitiririke, kuna 11000 naiona
Ni kitu cha kawaida kwani judge/hakimu anaandika kitu ambacho mtuhumiwa/shahidi anazungumza kwa mdomo!! Lazima aandike hivyo.Alaumiwe mwalimu wake wa mwandiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu wa bukoba jamani!!.Nahisi kuna kaukweli maana nna rafiki zangu kama watatu wanatoka huko wakianza ongea wanakupa mawazo maneno yao wakimpanga mtu asie wajua lazima watamroma tu..Tarime nyingi zikiwa ni za mauaji
Uchagani nyingi zikiwa za wizi
Uzaramoni nyingi zikiwa za talaka wivu wa mapenzi
Bukoba nyingi zikiwa utapeli[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hii imekaa hivi: watu kama hawa wanaandika kwa kasi sana. hii inatokea ili kuendana na kasi ya ubongo unavyofikiri. Yaani ni kwamba ubongo wa hawa jamaa unafikiri kwa kasi kuliko mikono (vidole) vyao vinavyoweza kuandika maandishi.Ni kitu cha kawaida kwani judge/hakimu anaandika kitu ambacho mtuhumiwa/shahidi anazungumza kwa mdomo!! Lazima aandike hivyo.
Sehemu nyingi hazina vyombo vya kubadili sauti kuwa maandishi (transcriber). Maana kwa utaratibu wao lazima mambo yawe katika maandishiHivi huwa ni lazima kuandika? Kwann wasiwe wanarecord sauti!
kwa miaka saba mfululizoWewe ni mjuzi kwenye hii kaliba
Hahaaaaa. Umeshindwa kuutoa mkono kwenye karatasi? nasubiri niendeleeI knew it ila ahadi iko pale pale
Dah umenikumbusha jamaa yangu mmoja stingi kishenzi kwa mademu alikuwa mkopi mwanzo mwisho siku moja akakutana na komesha yake. Wakaenda kunako wakavua nguo, ile jamaa anataka kuingiza kirungu kikamatwa na mkono wa kushoto na mkono wa kulia ukanyooshwa juuHahaaaaa. Umeshindwa kuutoa mkono kwenye karatasi? nasubiri niendelee
😀
Hahaaaaaaa. Umenifanya nicheke mbele za watu hapa. Jamaa alisahau siku za mwizi ni arubaini.Dah umenikumbusha jamaa yangu mmoja stingi kishenzi kwa mademu alikuwa mkopi mwanzo mwisho siku moja akakutana na komesha yake. Wakaenda kunako wakavua nguo, ile jamaa anataka kuingiza kirungu kikamatwa na mkono wa kushoto na mkono wa kulia ukanyooshwa juu
Akauliza nini tena ! Akaambiwa nipe changu kwanza......ilibidi jamaa atii
Ndugu yangu mimi sio mkopi