Mimi napata shida kupambanua, mbona hawa EPA
dagaa ndio wanaofungwa, eti wa bil 1.8 na hapa
akitoka ndo alipe pesa aliyoepua, ningeomba hukumu ipitiwe tena walipe pesa kwanza ndio wahfungwe miaka5 ili isije tokea upotevu wa kile ambacho wangepaswa kulipa baada ya kumaliza kifungo, na pia lolote laweza tokea gerezani kuna mambo mengi,
swala la pili ni kwamba kwanini wale EPA MAPAPA wa bil 38, na wengine wakubwa hawajaanzwa wao kwanza na ndio wawafate EPA DAGAA?
au hawa ndio MBUZI WA KAFARAA?