Hukumu ya Babu Seya, Papii, Mapya tena yaibuka

Hukumu ya Babu Seya, Papii, Mapya tena yaibuka

Kumbe ilikuwa watoke hata bila msamaha? Watu wanajua timing!
 
ili babu aachiwe huru jumla inabidi mzalamo na msukuma wazinguane sana sana ndipo msukuma atamuachia babu kama retaliation and warning kwa mzalamo....ipo siku itakuwa hivi maana upepo unavoelekea kwass msukuma kazidiwa kete na mzalamo ndio maana anakuwa akimpoza sana pale anapohiatj kupitisha jambofulan katika chama,kujali huko ni kama kwa kujali familia ya jk na kuipa favour kibao kama ya former first lady kuwa MP,Mtoto wa mzalamo anasadikiwa kuwa ni mmoja kati ya Drug lords wakuu ila hajaguswa nk,ila siku upepo ukimkalia vizur msukuma asiyepangiwa lazma ataondoa hizo favour zote na kisas ndicho kitu kitafuata.....
kuna mengi sana ya utawala uliopita msukuma anataman kuyatengua ila tatizo nguvu bado hana kwakuwa kwasasa katika chama msukuma ni mwenyekiti tuu ila mzalamo ndio DE FACTO POWER so kwasasa tusitegemee makabuli yaliyofukiwa na mzalamo kuguswa na msukuma...YAN KWASASA MSUKUMA KAUFYATA SO BABU HAWEZI TOKA ILA SIKU MSUKUMA AKIUFYATUA BABU ATATOKA TUU
!!!!
 
Back
Top Bottom