Hukumu ya Babu Seya, Papii, Mapya tena yaibuka

Wabongo wanafiki sana,yani majitu yanaacha kusikitikia watanzania wenzetu walioko huko magerezani kwa makosa ya kusingiziwa.yenyewe yamekalia kusikitikia hawa wabakaji waliobaka kikwelikweli.
Ww una uhakika kama walibaka kweli?
 
Taarifa zisizo rasmi jamaa kaachiwa huru sins uhakika kama hz habari ni za ukweli wadau mtujuze
 
Attachments

  • IMG-20170429-WA0000.jpg
    IMG-20170429-WA0000.jpg
    42.4 KB · Views: 44
ili babu Seya na mwanae waachiwe huru jumla inabidi mzalamo na msukuma wazinguane sana sana ndipo msukuma atamuachia babu na wanae kama retaliation and warning kwa mzalamo,ipo siku itakuwa hivi maana upepo unavoelekea kwass msukuma kazidiwa kete na mzalamo ndio maana anakuwa akimpoza sana pale anapohiatj kupitisha jambo fulan katika chama,kujali huko ni kama kwa kujali familia ya jk na kuipa favour kibao kama ya former first lady kuwa MP,,ila siku upepo ukimkalia vizur msukuma asiyepangiwa lazma ataondoa hizo favour zote na kisas ndicho kitu kitafuata.....
kuna mengi sana ya utawala uliopita msukuma anataman kuyatengua ila tatizo nguvu bado hana kwakuwa kwasasa katika chama msukuma ni mwenyekiti tuu ila mzalamo ndio DE FACTO POWER so kwasasa tusitegemee makabuli yaliyofukiwa na mzalamo kuguswa na msukuma...YAN KWASASA MSUKUMA KAUFYATA SO BABU HAWEZI TOKA ILA SIKU MSUKUMA AKIUFYATUA BABU ATATOKA TUU
 
ili babu aachiwe huru jumla inabidi mzalamo na msukuma wazinguane sana sana ndipo msukuma atamuachia babu kama retaliation and warning kwa mzalamo....ipo siku itakuwa hivi maana upepo unavoelekea kwass msukuma kazidiwa kete na mzalamo ndio maana anakuwa akimpoza sana pale anapohiatj kupitisha jambofulan katika chama,kujali huko ni kama kwa kujali familia ya jk na kuipa favour kibao kama ya former first lady kuwa MP,Mtoto wa mzalamo anasadikiwa kuwa ni mmoja kati ya Drug lords wakuu ila hajaguswa nk,ila siku upepo ukimkalia vizur msukuma asiyepangiwa lazma ataondoa hizo favour zote na kisas ndicho kitu kitafuata.....

Well said.
 
Etiiiii eeeeee
 
Hizi ndio porojo kama ulikuwa unazitafuta. MZALAMO.

Kwa kosa la ulawiti acha tu wakae jela, ilibidi wapewe kazi ngumu na viboko vitano kila asubuhi na jioni.

Wanapiga muziki, wajinga sanaaa. Ngumu kupika kesi kama hizo na watoto wote wale wameandaliwa? Never.

Waliotoka labda walifungwa coz of technicalities za kisheri kama accessories before, during and after the happening of a crime.

Mnatetea wanajisi na walawiti tena watoto wa miaka mitano?

Stupidity and abnormality.
 
Back
Top Bottom