Ado Shaibu
Member
- Jul 3, 2010
- 99
- 108
Mahakama Kuu ya TZ Chini ya Jaji Kiongozi Dk. Feleshi kesho tarehe 20 Sept ( Saa 7.00 Mchana) inatarajia kutoa hukumu ndogo (Ruling) khs mapingamizi yaliyowekwa na Serikali kwenye kesi ya Ado Shaibu Vs. John Pombe Magufuli & Others kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi.
Pamoja na mambo mengine, upande wa serikali unaomba kesi hii ifutwe kwa kile inachoona kuwa haijazingatia matakwa ya kikatiba na kisheria ya kinga ya Rais kutoshtakiwa.
Zaidi pitia mapingamizi hapa chini: