Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,034
- 132,807
Asante kwa taarifa hii, tunafuatilia kwa karibu kesi hii ya kikatiba.
P
P
Lakini wakati wote huo spika kumlipa mshahara bila kujua yupo wapi!!!!!Ujinga uliopo kwenye hii kesi hautofautiani na ujinga wa kesi ya Tundu kudai alikuwa mahututi ubelgiji hadi akashindwa kumtumia hata sms boss wake kumjulisha yupo wapi, wakati utube tukimuona akitetea mashoga.
Huyu spika naye inabidi aturudishie hizo hela. Kuna kipindi aliamua kusitisha kimyakimya. "mahututi" wetu alipoona account haisomi uliona alivochomoka kitandani alikokuwa amelazwa na kutoa mapovu utadhani zile plastic bullets ziliinjure brain cells na sio mguu.Lakini wakati wote huo spika kumlipa mshahara bila kujua yupo wapi!!!!!
Na Na mnapobinuaga pua hakuna aliye juu ya Sheria. mnamaanishaga nini?
Huyu spika naye inabidi aturudishie hizo hela. Kuna kipindi aliamua kusitisha kimyakimya. "mahututi" wetu alipoona account haisomi uliona alivochomoka kitandani alikokuwa amelazwa na kutoa mapovu utadhani zile plastic bullets ziliinjure brain cells na sio mguu.
Mahakama Kuu ya TZ Chini ya Jaji Kiongozi Dk. Feleshi kesho tarehe 20 Sept ( Saa 7.00 Mchana) inatarajia kutoa hukumu ndogo (Ruling) khs mapingamizi yaliyowekwa na Serikali kwenye kesi ya Ado Shaibu Vs. John Pombe Magufuli & Others kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi.
Pamoja na mambo mengine, upande wa serikali unaomba kesi hii ifutwe kwa kile inachoona kuwa haijazingatia matakwa ya kikatiba na kisheria ya kinga ya Rais kutoshtakiwa.
Zaidi pitia mapingamizi hapa chini:
View attachment 1211691View attachment 1211692
Kesi imeondolewa na Fatma Karume amesimamishwa uwakili Tanzania Bara, hukumu imetolewa na Jaji Kiongozi Dr Eliezer Mbuki Feleshi.Ado njoo utupe update nn kimeamuliwa huko mahakamani leo?
Ngoja tusubili Comedy nyingine Leo toka kwa Hakim
Kwa mara nyengine tena mahakama itajidhalilisha??